Chatanda afurahishwa na Utekelezaji wa Miradi Wilayani Geita

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda amefurahishwa na Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika wilaya ya Geita chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita Ndg.Zahara Michuzi kwa kujenga Kituo cha Afya Nyankumbu kwa kutumia fedha za ndani.

Akizungumza leo katika Ukaguzi wa Kituo hicho ambacho kimegharimu zaidi ya Milion 692,458,615 Mwenyekiti Chatanda amefurahishwa Usimamizi wa Fedha hizo na kuwaomba wananchi waendelee kusemea miradi ya Serikali ya awamu sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

"Mkurugenzi nimeona hapa kuna baadhi ya majengo yamepungua nikushauri omba fedha Serikali Kuu uweze kumalizia majengo mengine yaliyobaki"alisema Chatanda.

UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE

WhatsApp Image 2023-09-29 at 16.31.12.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-29 at 16.31.12(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-29 at 16.31.13.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-29 at 16.31.14.jpeg
 
Back
Top Bottom