mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,054
- 5,432
Upuuzi ilikuwa amri ya mahakama! Hata kama umepewa kacheo ndugu usijaribu huu upumbavu utakutana na mwamba ukuchambua hayo meno usiweze kujitetea popote! be ware miaka ya nyerere siyo hiiMimi nakubaliana naye...kuchapa viboko siyo unyama...enzi za Nyerere watu walichapwa viboko wakati Fulani hasa baadhi ya Wala rushwa...Nyerere alisema unamchapa viboko mla rushwa wakati wa kuingia na wakati wa kutoka bill Shaka mahabusu au jela unamchapa Tena vingine I'll akamuonyeshe mke wake...