jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,735
- 2,808
kweli wanasema usimuamin nesi mwenye mume muuza majeneza nimeanza kuamin
Lol
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli wanasema usimuamin nesi mwenye mume muuza majeneza nimeanza kuamin
nn? jimmaa
Toa hoja acha matusi; utapimwa humu JF kwa posts zako na usidhani kwa kutumia avatar ya Bila Bila huwezi kufahamika na ukashughulikiwa kwa matusi yako kama wenzako huko Segerea! Chunga sana. Njoo na hoja ndugu siyo matusi.Unaweza kupata shida sana!Askari waliopigana vita na Idd Amin ndo hawa hawa? Au na wewe ni shoga wa Dc Kigamboni?
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA . Ndio wanajua waliofanya kitendo hichoKwahiyo ilitumia wakina nani?
#BringbackCCTV
Wahusika wako ndani ya CHADEMA na wanajua wafanyayo kwani ni kwa maslahi yao binafsi. Waulize humo CHADEMA wanawajua sana.
Labda kama haina shughuli muhimu za kufanya Serikali inaweza kuanza kuzungumzia hoja ya Lissu! Sidhani kama inao muda huo wa kuanza kujibu "maneno" ya Lissu. Haya ni maneno tu, hakuna hoja hapa!Shida nini hii serikali yetu kwani imekosa wasemaji? Yani kwa sasa ukitaka ujulikane taja jina la lisu. Wameanza makada wamechemsha waliobaki hawakuridhika wakaja viongozi waandamizi wa serikali bado waliobaki hawakuridhika na maelezo wamekuja wanaojiita wasomi bado majibu hayakutosheleza, naona rais tff nae kaingilia kati kuokoa jahazi lakini wapi.
Jana tumemsikia waziri mwenye dhamana na ile wizara lakini wapi leo DC na kaleta mchanganuo wa kwa kile anachokielewa tumemsikia. Ushauri tu ebu serikali hii habari ya lissu kuwe na mtu maalum wa kuizungumzia naona hii ni kazi ya doctor abas hawa wengine uelewa wao ni mdogo wanaharibu tu. Kuna usemi use nao miruzi mingi inampoteza mbwa'
Wako wapi leo!? Ushindi siyo "tokeo" la mara moja bali ushindi ni ENDELEVU, ndio maana wa Kibiti hawako ni kimyaaaaa!Kule kibiti mbona walinyioshwa?
Nasikia kumbe ni wazembe badala ya kumlenga mharifu wamemlenga na kumuua raia asiye na hatia
Askari wake shujaa mwenye shabaha ameshaua huko kigamboni aende kwenye aseme hawa ndio askari walioiva.Mmeziona vetting bora kabisa za uteuzi za jiwe ,sifa za kuteuliwa ni kuwa kichaa kama Mimi .
Nani aliwaondoa walinzi?Hoja ina mantiki,mtu " profesheno" angepiga risasi mbili au tatu tu.sasa inahisiwa humu kama ni serikali imehusika means ni maofisa usalama au askari kwa namna yeyote( kwa mujibu wa mashabiki wa hili sakata humu) sasa mtu gani mwenye mafunzo aliyeiva apige risasi 30 halafu akose target! Tufikiri nje ya boksi kidogo.huyo kapigwa na wavuta bangi wenzake wa chadema huko.
Sent using Jamii Forums mobile app