DC Kigamboni: Serikali ya Tanzania haina askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa Lissu

Huu sio utaratibu wa uongozi. Kila kiongozi akijisikia kutamka anatamka tu!

Kwanini serikali nzima ipelekwe puta na mtu mmoja as if hakuna utaratibu?

Mnampaisha TL bila kujijua wenyewe? Waheshimiwa ni bora mkae kimya, mwacheni atapike nyongo muda ukifika atanyamaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo shida ni wanaotafuta habari hizo na kutuleteA. ndiyolengo lao kumpaisha. sidhani ulikuwa mkutano kwaajili ya kujibu hilo. Ila wanaorekodi na kuenezaliendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ina mantiki,mtu " profesheno" angepiga risasi mbili au tatu tu.sasa inahisiwa humu kama ni serikali imehusika means ni maofisa usalama au askari kwa namna yeyote( kwa mujibu wa mashabiki wa hili sakata humu) sasa mtu gani mwenye mafunzo aliyeiva apige risasi 30 halafu akose target! Tufikiri nje ya boksi kidogo.huyo kapigwa na wavuta bangi wenzake wa chadema huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hawa askari mnaosifia wameiva wanashindwa kuwakamata hao wavuta bange wa chadema?
 
Habari wanaJF,

Naona juhudi za kukanusha zinaendelea leo ameibuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni

DC Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Amedai kuwa Serikali ya Tanzania haina Askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa.

Chanzo: Dar Mpya
degree ya chupi
 
Duuuh huyu aliingiliwa kinyume na maumbile na hao Askari Nini?

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Hatimaye kawataja washambuliaji,nani aliyewahi kusema polisi ndio walifyatua risasi...akili ndogo imetibua dili zima
 
hili ni tatizo la kupewa vyeo kwa kuumiza nyuchi ndo madhara yake haya...Lisu atajibiwa hata na balozi wa kaya 50 sasa ushauri ni endeleeni kuimba ule wimbo wa nandi mnawashwa vibaya
 
Hoja ina mantiki,mtu " profesheno" angepiga risasi mbili au tatu tu.sasa inahisiwa humu kama ni serikali imehusika means ni maofisa usalama au askari kwa namna yeyote( kwa mujibu wa mashabiki wa hili sakata humu) sasa mtu gani mwenye mafunzo aliyeiva apige risasi 30 halafu akose target! Tufikiri nje ya boksi kidogo.huyo kapigwa na wavuta bangi wenzake wa chadema huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu wapeleke hawa Death squad ICC....Tuheshimiane
 
Back
Top Bottom