DC Kibaha umeichoka kazi yako?

DC Kibaha umeichoka kazi yako?

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,803
Reaction score
3,856
Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?

nikkwapili_1221522038.jpg
 
Suala la kiongozi kumpisha mtoto kiti halijaanza Kwa huyu DC,sasa Kwa mtoto wa kumzaa mbona easy tu 😂
Kabisa mkuu.

Watanzania wengi wamejawa na chuki, wivu, husda na visirani.

Washazoea kukalisha watoto wako kwenye makuti ya minazi 🌴 🌴 wakilima mashambani.

Sasa wameona DC kamkalisha mwanae kwenye kiti chake tu, Tayari yamejawa na chuki.

Mitanzania inasumbuliwa na ufukara uliochanganyika na chuki na wivu.
 
Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?

It is not an issue, amekaa anatoa maamuzi? Au ametembelea ofisini kwa baba? Nikija na wanangu ofisini kwangu wakati nazurura nje nawapisha kwenye kiti wakae, sio big deal.
 
Samahani kwa usumbufu Mkuu, Haya maneno yote unayotoa ni kwasababu Mheshimiwa Nickson kamkalisha Mwanae kwenye hicho kiti au kuna kingine? Kabisa Mkuu, Malaika huyo kukaa kwenye kiti kinachomsaidia kuwaza chanya, kunuia makubwa kwenye Maisha yake, kuamini anapaswa kupambana asimuangushe Baba yake, ndio unayatolea kauli hii? #RuhusuUpendoUtawaleBoss
 
It is not an issue, amekaa anatoa maamuzi? Au ametembelea ofisini kwa baba? Nikija na wanangu ofisini kwangu wakati nazurura nje nawapisha kwenye kiti wakae, sio big deal.
Sasa wewe lofa Una Hata kiti?
 
Back
Top Bottom