DC Happi mbona huendi kutoa Pole Kwa Clouds media?

DC Happi mbona huendi kutoa Pole Kwa Clouds media?

DC ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika. Na Cloudsmedia wapo wilaya ya Kinondoni inayoongozwa na Ally Happi. Baada ya RC Makonda kuvamia studio za Cloudsmedia kwann DC huyu hajaenda kutoa pole hadi leo?
Wote hao huchumia tumbo. Akitumbuliwa hana hata kibanda cha chips.
Anaogopa Happy masikini
 
Jamani, tuzungumze vitu ambavyo practically vinawezekana; aliye vamia ofisi hizi ni boss wake so unataka kijana aende akatoe pole? Huoni kwa kufanya hivyo ni sawa na kuwaambia mawingu kwamba boss wangu alikosea? Hi hoja ni kichonganishi bwana.
 
Back
Top Bottom