- Thread starter
- #21
Duuh!! Kaona aufyate tu.Kama umeshaona Mbabe wako uliyekuwa ukimwaminia anapewa za Uso Wewe Kinyankera tu utathubutu kupelekea pua yako?
Duuh!! Kaona aufyate tu.Kama umeshaona Mbabe wako uliyekuwa ukimwaminia anapewa za Uso Wewe Kinyankera tu utathubutu kupelekea pua yako?
Hata ndugu yao hadson kamoga cjaona akitoa poleDC ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika. Na Cloudsmedia wapo wilaya ya Kinondoni inayoongozwa na Ally Happi. Baada ya RC Makonda kuvamia studio za Cloudsmedia kwann DC huyu hajaenda kutoa pole hadi leo?
Tena taarifa ya maandishi. Waandishi kwann hawakumuuliza kamanda Sirro swali la nyongeza baada jibu hili lenye ukakasi?Anasubili taarifa kutoka kwa RPC wa kinondoni kama kuna sehemu watu wamevamiwa
Hilo nalo neno! Mpk siku akitumbuliwa huo ukurugenzi ndiyo atakuja kutoa pole.Hata ndugu yao hadson kamoga cjaona akitoa pole
Sirro ndo msanii kabsa bora huyo mwenzake taarifa bado hajapata.Taarifa ya maandishi....usanii wa kamanda Sirro hatari sana
Kwan yy wa kwanza kuwa Dc mkuu mpk aonewe wivuWivu, chuki na uzushi umekujaa pomoni kwakuwa Hapi ni DC?!
Kwani wamefiwa?DC ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika. Na Cloudsmedia wapo wilaya ya Kinondoni inayoongozwa na Ally Happi. Baada ya RC Makonda kuvamia studio za Cloudsmedia kwann DC huyu hajaenda kutoa pole hadi leo?
Kwani ni lazima kwenda kutoa poleDC ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika. Na Cloudsmedia wapo wilaya ya Kinondoni inayoongozwa na Ally Happi. Baada ya RC Makonda kuvamia studio za Cloudsmedia kwann DC huyu hajaenda kutoa pole hadi leo?
Vita gani unaizungumzia ya CHAPA KAZI au ya UBASHITE!!!?CLOUDS Kwa sasa wametangaza VITA na SERIKALI Pamoja na CCM, Usitegemee USHIRIKIANO Wowote kwa sasa