nyanungu magena
Member
- Nov 27, 2010
- 68
- 4
Mkuu usipoteze nguvu zako bure kumuelimisha huyo kijakazi wa Nape. Hawezi kukuelewa anatumikia 55,000 per day.
Kama sio mambo ya multiple Ids asingekuwa anaendelea kuchangia hapa JF. Siku ile dc aliponaswa isakamaliwa akiwafanyia kampeni magamba, jamaa alilipuka hapa kwamba chadema wamemvua nguo, hadi suruali amefanya kuazima. Picha zilipotua hapa na kuonyesha kwamba dc ni mwanamke jamaa alipotea jukwaani ghafla hadi leo haonekani. Baada ya kutoonekana ndio ameibuka huyu philanderer akiwa na ujumbe ule ule!!
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Mkuu, hamasisha wana Igunga wenzako kikamilifu ili kuhakikisha kwamba hilo Lundo la viongozi na hao green guards wanaondoka Igunga Kwa aibu( ikiwezekana usiku) kabla matokeo hayajatangazwa. Hii ni nafasi muhimu kwa Wana Igunga kuliweka Taifa katika mwelekeo unaofaa.
shule ya huyu mama imekaaje? au shida tumbo?
Naona naendelea na haya tu!!!Wewe uliingia Chadema ili upate ujumbe Vingunguti. Tena kuna kashfa kubwa sana umefanya ili ushinde Vingunguti. Hata Aweda naye ameacha matatizo mengi sana Ubungo. Subirini sasa mtapata majibu yake muda si mrefu.
swali lako lina mantiki mkuu.Naomba kufahamishwa, MTANDIO = HIJABU? Ova!
Wewe uliingia Chadema ili upate ujumbe Vingunguti. Tena kuna kashfa kubwa sana umefanya ili ushinde Vingunguti. Hata Aweda naye ameacha matatizo mengi sana Ubungo. Subirini sasa mtapata majibu yake muda si mrefu.
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Kamanda hapo kwenye red, kulalamika zama hizi hakutawasaidia kitu chechote, mungeangalia uwezekano wa kuchukua hatua kwa mfano kulipiga kiberiti hilo jengo, otherwise mtakuwa kama mnampgia mbuzi gitaa. Kama mmefikia kuweza kupata habari kama hii ya kuwa na wakina mama kwenye jengo hilo, mnashindwa vipi kwenda mbele zaidi na kuwapiga moto ndani ya hilo jengo. Sijui kama umenipata? mnatakiwa muanze kufikiri kwa jinsi hii sasa na sio kulalama tu kila siku. Tena kwa kuongezea na tukiwa wakweli wa nafsi zetu tukiacha unafaiki ni kama mnalazimwisha kufikiri kwa jinsi hii ingwa sina hakika kama na nyie munaliona hilo.
Ndugu yangu hicho ni kifungu gani nikisome, inaelekea mimi ni mbumbu wa katiba. Naomba kifungu tafadhari.
Teh teh mkuu me nadhani twahitaji kumwaga watu wetu wa techno hama ili kurecord everything na kuumwaga ushahidi mahakamani ili tujue tena kama TV ya Taifa TBC1 itasema tena alikuwa kwenye shughuli za kikazi which mean za serikali
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Wewe siyo 'mbumbu' wa katiba tu ila ni 'mbumbu' hata wa kiswahili. Naomba urudi darasani 'tafadhari'
Afadhali ya mbumbumbu wa kiswahili kuliko kuwa mbumbumbu wa kuwatumikia kina nape wakati wenzio wanakula gud tym we unakuja kuttpandisha hasira hapa jf