Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Kamanda hapo kwenye red, kulalamika zama hizi hakutawasaidia kitu chechote, mungeangalia uwezekano wa kuchukua hatua kwa mfano kulipiga kiberiti hilo jengo, otherwise mtakuwa kama mnampgia mbuzi gitaa. Kama mmefikia kuweza kupata habari kama hii ya kuwa na wakina mama kwenye jengo hilo, mnashindwa vipi kwenda mbele zaidi na kuwapiga moto ndani ya hilo jengo. Sijui kama umenipata? mnatakiwa muanze kufikiri kwa jinsi hii sasa na sio kulalama tu kila siku. Tena kwa kuongezea na tukiwa wakweli wa nafsi zetu tukiacha unafaiki ni kama mnalazimwisha kufikiri kwa jinsi hii ingwa sina hakika kama na nyie munaliona hilo.Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
Katiba ya nchi ipi?? kama ni ya TZ je ni ibara ya ngapi unaizungumzia??Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Si alidai kabakwa labda anataka tena.Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Lakini pia sheria hairuhusu kiongozi yeyote wa serikali kufanyia chama chochote cha siasa kampeini hasa kwa kutumia rasimali za umma na mda wa umma nafikiri wewe ni kilaza sana au hujui chochote kuhusu sheria za nchi hii, ni kweli wakuu wa mikoa na wa wilaya wote tunawajua ni wanachama wa ccm lakini cdm wanachokataa ni dc kuendelea kuvunja sheria ya nchi hii. na propaganda hii ya udini ni hatari kwa nchi yetu na kinachoshangaza viongozi wanaishabikia DC alikamatwa si kwasababu ya uislamu wake alikamatwa kwasababu alikua anavunja sheria kinachotia uchungu ni kuona eti bakwatawanasema mwanamke wa kiislamu amedharirishwa je wanataka kutuambia kwamba waislamu ndio waliomtuma huyu mama kufanya uharifu huu? kama sio hivyo wasiwaingize waislamu kwenye ujinga huu wa ccm. waislamu tukatae kutumiwa na ccm. mbona kama wanapenda waislamu na kuwaheshimu hawajatupa mahakama ya kadhi? BAKWATA itisha maandamano ya kudai kadhi sio kujiingiza kwenye siasa kama hizi.Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Mbumbumbu anatumiwa huyu.Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
Kinachokataliwa ni kutumia raslimali za serikali kushibikia chama akipendacho. Kwani katikam hiyo mikutano anakoenda bia ya ulinzi kwa nia ya kuifanyia ccm kampeni si anatumia gari la serikali. Huo muda anaotumia si unalipiwa mshahara kwa kodi zetu n.kKatiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Nanyaro songeni mbele tu lile tukio limekuwa fundisho tosha hata kama wakijifanya hawajali lakini kuanzia sasa kabla ya kutenda wanayotaka kuyafanya watakuwa wanajiuliza mara mbilimbili.Hii tabia ya viongozi wa kiserikali kutumia rasilimali za umma kwa manufaa ya chama,si ya kuvumilia hata kidogo,ni ufisadi wa hali ya juu