DC adai talaka mbili kwa mpigo mahakamani

Huyo mke anaeng'ang'ania ndoa kisa ya kanisani hajielewi. Ndoa sio makaratasi. Kama hawaishi wote,hakuna mapenzi. Hapo hakuna ndoa tena. Ila wajaluo nao wa kuoa wake wengi hawajambo.

Odunga ana matatizo, wanawake wote wawili anataka kuwapa talaka . Something is wrong with him
 
Analisha ego.

Nayo ni faida kwake....siunaona mme alitaka kuoa akaambiwa kavunje ile ya mwanzo ndiyo tufunge ya sasa. Na pia anaogopa madhara ya kuoa mwingine ilihali ile haijafutika.

Ni wachache huombea ma ex wao wayafurahie maisha baada ya kuacha.

Ana ndoa mbili ujue, moja ya kanisani na nyingine ya serikalini na zote kashatoa shauri la kutoa talaka. Something is wrong with the guy, aliyefunga nae ndoa kanisani anamtaliki, na aliyefunga nae ndoa serikalini pia anamtaliki. Yani anavunja ndoa mbili kwa mpigo
 
Huyo mwanamke namshangaa,akubali hiyo talaka.Huyo mkuu wa wilaya nae si akafunge ya serikali ? Maana baada ya hiyo ana ndoa nyingine ya serikali ambayo pia anatoa talaka. Ila hii kesi itafundisha wengi. Ngoja tuone mwisho wake.

Yani anavunja ndoa mbili kwa mpigo , ina maana wanawake wote wawili wana matatizo
 
Huyo mke anaeng'ang'ania ndoa kisa ya kanisani hajielewi. Ndoa sio makaratasi. Kama hawaishi wote,hakuna mapenzi. Hapo hakuna ndoa tena. Ila wajaluo nao wa kuoa wake wengi hawajambo.

Ndoa ni political and business decision!

Has nothing to do with love!

If it was love,no papers needed to begin with!

Ni business decision ndio maana kuna mikataba!

Unamchakaza mdada wa mtu halafu unamuacha then aoelewe na nani!???
 
Kumbe talaka ni ngumu kuipata
hahaa za kiislam ni rahisi sana ila ndoa za kanisani ni ngumu sana muulize mastèr jay atakuambia

kwanza ukienda kudai talaka unaambiwa kalisa halivunji ndoa kwa kilichounganishwa hakuna wa kukitenganisha ila kifo tu
so unaambiwa uende mahakama hapo ndio kimbembe sasa
 
Odunga ana matatizo, wanawake wote wawili anataka kuwapa talaka . Something is wrong with him
Kuna walakini hapa.Mke wa tatu anaishi naye au anataka kuoa?Au yule aliyesema Sumve 2015 kwenye post yake juu?

Mbona inakuwa vurugu kimaadili kuhusiana na nafasi aliyonayo katika Jamii?

Tunamwangusha sana Mhe.Rais anapowaamini vijana kwa kuwapa madaraka ili wamsaidie lakini inakuwa hivi.

Wengine watasema ni personal issues,lakini sio afya ukiwa kama kiongozi.
 
Jamaa kaokotwa jalalani, amekula shavu anataka kuwapiga chini wake zake, pesa zimemlevya!
 
hataki kuvunja ndoo maana huyo mkuu wa wilaya akifa atakuwa mrithi,kiufupi huyo mwanamke anavizia kuja kunyakua urithi
 
Back
Top Bottom