DBB+ Nimeambiwa Sina sifa

DBB+ Nimeambiwa Sina sifa

Kama zamani mkuu

Umefanyaje mkuu. Namsaidia dogo kuomba hapa but inasema hana credits ilhali anazo tena ni form four. But six wamesema passed.

Kumbuka hizi ni hatua. Huwezi kufikia kuomba course yoyote ile bila kuclear hizi hatua za kwanza I.e form iv& vi
 
Nimeongea na wahusika TCU na necta
 
Matokeo ya kidato cha nne 2014
Kisw B
Hist C
Lang B
Geo D
Civ D
Math D
Bios F.

Kwa TCU si atazinguliwa huyu? Kafanya paper kama PC.
Na kapata DDF kwa mwaka huu.

Msaada wenu tafadhali
 
Back
Top Bottom