sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
- Thread starter
- #21
Wamenibadilishia kutoka matokeo halisi ya mwaka Jana yanihuu mfumo wa GPA unachanganya sana hapo sina hakika kama umefaulu au laa. Kuna mtu alileta uzi mwaka jana kapa BBB lakını kakosa udaktari
PHY D CHEM B BIOS B+ Kwenda PHY F CHEM D BIOS C