DBB+ Nimeambiwa Sina sifa

DBB+ Nimeambiwa Sina sifa

Ndugu zangu wana jf mie nimehitimu kidato cha sita mwaka Jana nimesoma PCB nikapata phy d Chem b na bios b+
Nimeanza kuapply nilipofika validation wakanibia not passed kwa upande Wa A level? Msaada jamani
Una sifa kabisa zoote ila angalia qualification za kozi husika!
 
Hivi 2Cs ni point nne au sita? Naona thread yako umeileta kama Joke hapa JF haiwezekani upate 2Bs then ukose chuo. 2Bs ni mara mbili ya minimum requirement zinazotakiwa na TCU.
Wa mwaka jana huyo, ufaulu wake haswaa ni E, D na C kwa vigezo vya TCU, achek ndo aapply
 
Nimeongea nao wameniambia TCU wametoa wapi? Hayo matokea?
 
Sasa nifanyaje wakati guidebook imesema lazima uwe na point NNE. Yan two c's
Hebu hesabu hizo point kwanza! Are serious kweli?
Ndugu zangu wana jf mie nimehitimu kidato cha sita mwaka Jana nimesoma PCB nikapata phy d Chem b na bios b+
Nimeanza kuapply nilipofika validation wakanibia not passed kwa upande Wa A level? Msaada jamani
 
Nafikiri tatizo ni hiyo F ya physics ila ngoja tuwasubirie maana kuna mtu kawasiliana nao. Kama B† ni C, A itakua B, kwa hiyo hakuna waliopata A mwaka jana na juzi?
 
Ndugu zangu wana jf mie nimehitimu kidato cha sita mwaka Jana nimesoma PCB nikapata phy d Chem b na bios b+
Nimeanza kuapply nilipofika validation wakanibia not passed kwa upande Wa A level? Msaada jamani
alafu huu ujingaa wa kujiita Dr ndio utakuponzaa, watu tumehenyekaaa wewee kiulani tu unajiitaa Doctor?? pumbafuuuuuuuu na usipate kabsa CHUO!
 
Ww kama ulipostpone itabid usubr baada ya wiki moja ndio utaruhusiw kuapply
 
Mungu wangu! naona Ndalichako kaamua, itakuwa wameamua kuzipandisha kwa level ya 2014 kurudi nyuma maana nyie mlishushiwa, hapo huna ujanja apply diploma tu...issue sio tu kwamba B iwe sawa na C bali hiyo C yenyewe iwe na marks za C ya 2014 kurudi nyuma...hehehe

Au kama huna haja na udaktari apply kozi nyingine isiyotaka ufaulu wa physics tofauti na hapo apply diploma tu.
Hamna, mbona anazo principle pass mbili? Anaeza kwenda kusoma education tena priority kwa watu wa sayans n kubwa sana
 
lakini kama alichaguliwa mwaka jana na hakwenda chuo alipaswa kutoa taarifa tcu wakutoe kwenye system ili uwe na uwezo wa kuapply upya next time....fanya kuwasiliana nao
 
Back
Top Bottom