GE2025 Day 3: Maandamano yanaendelea jijini Dar es Salaam

GE2025 Day 3: Maandamano yanaendelea jijini Dar es Salaam

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu Mama anatakiwa ajisalimishe awasmbie na Askari polisi waweke silaa chini. Hawezi kupambana na nguvu ya umma ,amekataliwa waziwazi asidanganyewe na kina kikwete akalazimisha kumwaga damu za watanzania wasio na hatai
 
Hivi katembelewa huyu?
 
Hakuna mahali nimetukana mtu , usinipakazie, Aluta continua
Aminia bwana mdogo. Usitilielage maanani sana si unajua tena tunatagaka jamvi lichangamke.

Niko sure hata zenji hawaitaki CCM.
 
Back
Top Bottom