Mars Rover
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 338
- 140
- Thread starter
-
- #61
habari wakuu nmenuua juzi sony experia z..tatizo lake inasoma 2G haipandi zaidi yaapo wakati specification zake ni 4g,,,location ipo nzur coz simu niliokuwa natumia ni ya kawaida (b-elite) ilikwa isoma 3G karibia mda wote
Nataka ku install fonts mbali mbali kwenye experia z2 ila kila fonts inataka nifanye rooting..hakuna njia nyingine, na je rooting hawezi leta shida baadae?
asante sana mkuu imkubali kusoma 3g....kwenye dialer type *#*#4636#*#* then jaribu kuichagulia wcdma only..
Isipopokea hsdpa basi simu yako inaweza kuwa cdma evdo smartphone ambazo ni kwa ajili ya chinese market.. Tupe feedback tutafute radio images..
Ukitoa phone model itakua vizuri zaidi
Tafuta njia nzuri XDA Developers kwa ajili ya rooting kwa Z2
nina Sony Xperia S lt26i imepasuka kioo..ila touch yake ipo poa.
asante sana mkuu imkubali kusoma 3g....
hujajibu swali lote...
Tukusaidie nini mkuu?
Mimi nina sony experia c 2305 ina tatizo la kudai insuficient storage nafanyaje hapo
Install Clean Master App kutoka Google Play, then cleanup files ambazo hazina umuhimu kama una computer basi fanya kuhamishia files kubwa kwenda kwa computer yako.. Pia kumbuka kuondoa Applications zisizokuwa muhimu
Hivi una set vipi nyimbo as a ringtone kwenye xperia s
Some apps zimekuja na simu hazitaki kuziondoa ndio shida hapo
Tumia ES file Explorer mkuu
Acha uvivu mkuu mbona threads zinazoelezea kuhusu athari za rooting zipo.. kwa hiyo nenda XDA kwa majibu zaidi..
Naidownload hyo ES au naipataje?? Then inatumikaje??
Ulileta uzi hapa ili nini, kama cjui kingereza? hata mengine wanayo uliza yapo huko ila sio wote tunajua lugha, mbwiga wewe😰