Dawati la msaada kwa HTC smartphones

Dawati la msaada kwa HTC smartphones

Cool natumia HTC ONE M7 TATIZO HAIKAI KABISA NA CHAJI NAOMNA MSAADA please
 
hilo tatizo mara kwa mara kutokana na design yake ya aluminium unibody ambayo inazuia simu hii kupitisha joto hivyo kusababisha overheating issue ambayo baadae hupelekea kufeli kwa parts mbali mbali kuanzia battery na baadae performance...

Hivyo basi kama simu ulinunua ikiwa used nakushauri ununue eBay replacement battery pack ya HTC One M7
 
So mkuu simu hii inaweza kufunguliwa na kubadilishwa hii battery? Maana battery yake ni built-in, na haifunguki
 
mie htc desire kuna application zinagoma ku download hata sielewi
 
Mi nina HTC one s tatizo nikiangalia video youtube baada ya muda mfupi cm inazima yenyewe na chaji ipo yakutosha tu.
 
So mkuu simu hii inaweza kufunguliwa na kubadilishwa hii battery? Maana battery yake ni built-in, na haifunguki
Inabadilishika mkuu ukipata betri yake nenda kwa fundi mtaalamu atakubadilishia.. Inawezekana kabisa
 
Mi nina HTC one s tatizo nikiangalia video youtube baada ya muda mfupi cm inazima yenyewe na chaji ipo yakutosha tu.

Hii itakua software issue cha kufanya jaribu update YouTube App, ikigoma basi fanya factory reset kupitia recovery ya simu yako..

Utazima simu, then utashikilia Volume Down+Power Button.. Hii itakupeleka kwenye Bootloader ambayo nu screen nyeupe itakua ni details kama Code Name ya simu yako (One S ni VILLE)
Kwenye Bootloader utashuka chini kwa kutumia Volume Down button then Select Recovery kwa kutumia Power button (Hakikisha umefanya backup ya kila kitu kabla ya kufanya hard reset)
 
Nimekusoma mkuu ngoja nifanye hivyo.
 
mimi htc yangu mwez wa 5 sasa ipo katika aeroplane mode, nmejaribu almost kla kitu inakataa kutoka..na imefanya network kuwa off..km kuna la kunisaidia hapo nitashukuru
 
Umefanya Hard reset mkuu?
 
kaka mkubwa ninatumia HTC ONe X,... ina tatizo la ku overheat, alafu inazima sometimes, shida ni nini na ufumbuzi wake

Cool natumia HTC ONE M7 TATIZO HAIKAI KABISA NA CHAJI NAOMNA MSAADA please
 
Me yangu ina over heat,je ntapata wapi charger yake?huwa nachaj kwa Laptop naambiwa inaua betri
 
Back
Top Bottom