DAWASCO Boko yaogopa kutumbuliwa?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,771
7,138
Wanajamii

Leo DAWASCO Boko wameamua kurejea kwenye majengo yao ya zamani baada kuyatelekeza yapata miaka miwili hivi na kwenda kupanga nyumba binafsi. Ilikuwa haiingii akillini kuacha majengo yao na kupanga kwenye kajumba ambako hakana hata pakingi. Sijui wameogopa kutumbuliwa au la, hivi hawa watendaji hawamwogopi mkuu wa nchi kufanya mambo kama haya?
 
Back
Top Bottom