Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,762
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu