conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 721
- 573
Una dalili ya kupenda sifa na kushindana..tabia hizi wanazo hasa wanasheria...!Ukiwa mzoefu wa tabia za JAMII. Itapunguza kutafuta makosa, utaongeza njia nzuri ya kulinda DIPLOMAT ya wengine.Unaweza kuwa sawa ila usiwe sawa vilevile uandishi wowote ule ni vyema sana kurudia ulichokiandika utabaini wapi urekebishe, upunguze au uongeze neno (maneno).
All in all Samahani sana kwa kukukera.