Dawa za mitishamba , ni hatari

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
 
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
Dawa yoyote ikizidi kipimoni hatari sana mkuu
 
"parambanda" ni kitu gani?
Hakuna kitu kinakera kama mtu anafungua thread ya mtu kisa tu akakague mapungufu ya uandishi, na jf imekuwa na watu wa aina hiii wengi sana

Kwani ndugu mwalimu wa kiswahili ungejikita tu na ujumbe wa mwandishi ungepungukiwa nini?

Haya basi huenda huyu alieandika ana umri wa 40+ na ana maisha yake tayari mtu kama huyu ni wa kufundishwa kuandika kweli?

Unadhani ana ndoto ya kuja kuwa mwandishi?
 
Hakuna kitu kinakera kama mtu anafungua thread ya mtu kisa tu akakague mapungufu ya uandishi, na jf imekuwa na watu wa aina hiii wengi sana

Kwani ndugu mwalimu wa kiswahili ungejikita tu na ujumbe wa mwandishi ungepungukiwa nini?

Haya basi huenda huyu alieandika ana umri wa 40+ na ana maisha yake tayari mtu kama huyu ni wa kufundishwa kuandika kweli?

Unadhani ana ndoto ya kuja kuwa mwandishi?
Unaweza kuwa sawa ila usiwe sawa vilevile uandishi wowote ule ni vyema sana kurudia ulichokiandika utabaini wapi urekebishe, upunguze au uongeze neno (maneno).
All in all Samahani sana kwa kukukera.
 
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
images.jpg

MADHARA YA KUTUMIA VIDONGE

Madhara ya kutumia Dawa ya Diklofenaki


Madhara
Diklofenaki,diclofenac, inaweza kuleta madhara inapotumika katika matibabu, ingawa mara nyingi huleta maudhi madogo madogo. Hatari ya madhara ya diklofenaki huongezeka kadri inavyotumika kwa muda mrefu.

Diklofenaki inaweza kuleta madhara yafuatayo :

Vidonda vya tumbo na damu kutoka tumboni
Huongeza hatari ya kupata shambulio la moyo au kiharusi
Kupandisha shinikizo la damu (hypertension)
Moyo kushindwa kufanya kazi (heart failure)
Upungufu wa damu
Ini kushindwa kufanya kazi (liver failure)
Shambulio la pumu kwa watu wenye pumu
Kuwashwa mwili na kutokwa na vipele
Madhara mengine ni kama maumivu ya tumbo, kiungulia, tumbo kujaa gesi, kichefuchefu, kuharisha, kutapika na kizunguzungu.

Acha kutumia diklofenaki (diclofenac) na wasiliana na daktari wako pale unapopata yafuatayo;

Kutapika damu au kupata choo cheusi
Mwili unakosa nguvu sana
Macho au ngozi yako kuwa rangi ya njano
Vipele kwenye ngozi
Kuvimba miguu na mikono
Maumivu makali ya tumbo


FAHAMU KUHUSU MADHARA YA MATUMIZI YA DAWA YA PANADOL


download.jpg

Watu wengi wana mtizamo kuwa dawa zinazouzwa katika maduka ya dawa baridi na maduka ya kawaida ya vyakula, yaani zile ambazo hazihitaji agizo la daktari ( over-the-counter (OTC) drugs ) ni salama.
Ukweli ni kwamba hali haiko hivyo kabisa. Nyingi ya dawa zilizoko katika kundi hili huko nyuma zilikuwa ni miongoni mwa zile zilizosimamiwa na kuratibiwa kwa karibu, huku zikitolewa tu kwa agizo la daktari.

Pamoja na kuondolewa katika kundi la dawa zinazohitaji kutolewa kwa agizo la daktari, bado dawa za OTC ni kemikali ambazo mara nyingi haziondoi kiini cha tatizo ulilonalo, na zinaweza kukupelekea kupata madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na kifo.

Mfano mmoja wapo ni dawa ya panadol, ambayo pia hujulikana kama paracetamol, acetaminophen, tyenol, nakdhalika.
Panadol ni dawa maarufu kweli kweli. Ni dawa maarufu hasa kutokana na uwezo wake wa kutuliza maumivu na pia kushusha homa haraka.

Watu wengi hunywa panadol bila ya kujiuliza chochote kuhusu usalama wake. Kupitia kwa wazazi na walezi wao, watoto wengi sana pia ni wabugiaji wa dawa hii.

Hii ni kutokana na wazazi/walezi wao kuamini kuwa kila mtoto anapolia basi mtoto ana maumivu, na au kila anapopata homa basi kuna ulazima wa kuishusha homa hiyo.

Kwa kiasi kikubwa tabia hii imejengwa na madaktari na wafamasia ambao nao hutoa dawa hii kwa wagonjwa bila kuzingatia usalama wake, na hivyo bila kutoa ushauri wowote kana kwamba dawa hizi ni salama kama maziwa!

Hatuna miundo mbinu ya kubaini idadi ya watu wanaoudhuriwa na matumizi haya ya kiholela ya panadol, lakini kwa kuangalia takwimu za nchi nyingine, bila shaka watu hao watakuwa ni wengi sana.

Nchini Marekani utumiaji uliopindukia wa panadol (overdose) umetambuliwa kuwa ndio sababu kuu ya simu zinazopigwa kuomba msaada katika vituo vya udhibiti wa sumu (Poison Control Centers) nchini humo, kila mwaka.

Panadol pia inatuhumiwa kuwa kila mwaka inasababisha kiasi cha watu zaidi ya 56,000 kupatiwa matibabu ya dharura, watu 2,600 kulazwa hospitalini, na kiasi cha watu 458 kupoteza maisha, katika taifa hilo. Sababu ya madhara haya inatajwa

kuwa ni kushindwa kwa kiwango cha juu kwa ini kufanya kazi.
Taasisi ya chakula na dawa ya Marekani (US Food and Drug Administration (FDA)) mnamo mwaka 2009 ilitoa maelekezo kuwa vifungashio vya dawa hii viwekewe onyo kuhusu uwezekano wa dawa hii kuharibu ini la mtumiaji.

Hatua hii ilikuja miaka 32 baada ya jopo la wataalamu kutoa ushauri kwa FDA kuwa onyo hili lilikuwa ni suala la ‘lazima’!

Katika hatua nyingine, kwa nia ya kupunguza madhara, mnamo tarehe 14 Januari, 2014 FDA ilitoa kauli iliyokuwa ikiwahimiza wataalamu wa afya kuacha kuandika maagizo ya dawa

(prescriptions) kwa dawa mchanganyiko ambazo miongoni mwake kulikuwa na vidonge (au vimiminika) vilivyokuwa na kiambata cha panadol kilichokuwa kikifikia kiasi cha miligramu 325.

Ni vizuri kuzingatia kuwa baadhi ya dawa za maumivu zinazotolewa kwa maagizo ya daktari kama vile Vicodin na Percocet, pia zina kiambata cha panadol na kwa hivyo hazipaswi kuchanganywa na dawa zingine zenye kiambata hiki.

UTUMIAJI WA PANADOL WAKATI WA UJA UZITO UNAWEZA KUCHOCHEA UGONJWA WA UTUKUTU MKUBWA KWA WATOTO

(Attention Deficit Hyperactivity Disorder –ADHD)
Hivi sasa kuna kundi la watafiti ambao wanahoji matumizi ya panadol kwa kina mama wajawazito.

Hoja yao ni kwamba matumizi ya dawa hii katika kipindi cha ujauzito yanaweza kusababisha mtoto atakayezaliwa kuwa na tabia ya utukutu uliokithiri.

Matokeo ya utafiti yaliyochapishwa katika jarida la JAMA Pediatrics, yanaonyesha kuwa panadol ni kitibua homoni ( hormone disruptor), na uwepo wa homoni usio wa kawaida mwilini wakati wa ujauzito unaweza kuathiri maendeleo ya kukua kwa ubongo wa mtoto anayeendelea kubadilika na kukua tumboni.

Utafiti huu ambao ulijumuisha takwimu zilizohusisha zaidi ya kina mama na watoto 64,000 kutoka katika kituo cha Taifa cha Kujifungulia cha Denmark (Danish National Birth Cohort), ulionyesha kuwa zaidi ya 50% ya wanawake waliohusishwa walitoa taarifa za kutumia panadol wakati wakiwa waja wazito.

Utumiaji huu wa panadol kwa wanawake hao olionyesha matokeo yafuatayo:

• Ongezeko la 30% la hatari ya mtoto kukumbwa na ADHD katika miaka saba ya kwanza ya maisha yake.
• Ongezeko la 37% la hatari ya mtoto kukumbwa na ugonjwa wa hyperkinetic disorder (HKD), ambao ni aina ya ADHD iliyopindukia mipaka.

Utafiti pia ulibaini kuwa kiwango cha madhara kilitegemeana na dozi. Kadri mama mjamzito alivyotumia panadol kwa wingi wakati wa ujauzito ndivyo jinsi ambavyo uwezekano wa mtoto kukumbwa na magonjwa yenye uhusiano na ADHD ulivyoongezeka.

Aidha kwa mujibu wa utafiti huu watoto wa wanawake ambao walitumia panadol kwa majuma 20 au zaidi wakati wa ujauzito walikuwa na kiwango karibu mara mbili cha hatari ya kukutwa na ugonjwa wa HKD.

MADHARA MENGINE YA KIAFYA YANAYOHUSISHWA NA MATUMIZI YA PANADOL

Ukiondoa uharibifu wa ini, panadol pia imehusishwa na madhara mengine ya hatari kama uharibifu wa figo pale inaponywewa na pombe, saratani za damu, madhara yanayopelekea ngozi kukumbwa na magonjwa kadhaa kama Stevens-Johnson Syndrome (SJS), toxic epidermal necrolysis (TENS), na acute generalized exanthematous pustulosis (AGEP), na kuzuia chanjo zisifanye kazi vizuri pale vinapotumiwa pamoja..

KUDHIBITI MAUMIVU
Kwa kuwa watumiaji wengi wa panadol, hasa kwa watu wazima, hufanya hivyo kwa nia ya kupambana na maumivu, ni muhimu wakajifunza mbinu salama na mbadala za kuondoa hayo maumivu.

Moja ya mbinu mujarabu sana katika suala hili ni kuhakikisha kuwa muda wote mwili wako haukabiliwi na uhaba wa maji. Mwili wako unapokabiliwa na uhaba wa maji akili iliyoko mwilini

mwako inawasha mfumo wa mgawo wa maji kidogo yaliyoko ndani ya mwili, ili kuzuia shughuli muhimu zinazotakiwa kuendelea mwilini zisije zikasimama.

Mfumo huu huratibiwa na kusimamiwa na homoni ya HISTAMINE, ambayo kunapokuwa na haja ya mgawo mwili huizalisha kwa wingi.

Kwa bahati mbaya ni kwamba katika harakati za kufanya kazi yake homoni hii pia huzalisha kiasi fulani cha maumivu katika maeneo mbalimbali ya mwili.

Ukiondoa uhaba wa maji mwilini, pia viko aina ya vyakula ambavyo huuchochea mwili kuzalisha kiasi kikubwa cha

HISTAMINE.
Ulaji wa vyakula hivi ni kichocheo kikubwa cha maumivu ndani ya mwili kwa muda wote.

Mungu akipenda katika post yetu ijayo tutaviongelea vyakula hivi kwa kina.

Tatizo lingine linalosababisha maumivu mwilini ni seli za mwili kukumbwa na mfuro/uvimbe mwako (inflammation) kutokana na baadhi ya vyakula tunavyokula, au kutokana na kuugua ugonjwa wowote ule.

Mfuro/uvimbemwako ni zao la kinga za mwili pale zinapoingia katika mapambano na magonjwa mbalimbali.

Mfuro/uvimbemwako unapotokea kwa muda mfupi tu siyo tatizo sana.

Tatizo linakuwa pale ambapo mfuro/uvimbemwako huo umekuwa ni kitu cha kudumu.
Miongoni mwa dawa nyingi za kifamasia utakazopewa na daktari wako kwa ajili ya maumivu ni zile zinazolenga kuzuia mfuro/uvimbemwako.

Hata hivyo kutokana na dawa nyingi za kifamasia kuwa na usalama unaotia shaka ni bora mtu ukajaribu njia za asili (natural) za kuzuia mfuro/uvimbemwako.

Upunguzaji wa vyakula vya wanga, hususan vile vilivyochakatuliwa, na upunguzaji wa matumizi ya mafuta ya kupikia yanayotokana na mbegu (polyunsaturated fats) ni moja ya njia nzuri sana za kudhibiti hali hiyo.

Baadhi ya vitu vinavoliwa pia ni visawazishaji vikubwa vya mfuro/uvimbemwako.
Hivi ni pamoja na chai ya kijani (green tea), manjano (turmeric), karafuu, vitunguu saumu, matunda ya jamii ya berries (mfano zambarau), zabibu, na vitamini C.

Tatizo lingine linalosababisha maumivu ni makovu yanayojitokeza ndani kwa ndani mwilini kufuatia kuumia kwa tishu mbalimbali ndani ya mwili.

Ulaji wa vyakula vyenye vimeng’enya vyenye uwezo wa kuyeyusha makovu hayo (proteolytic enzymes) ni njia moja mujarabu sana katika kupambana na maumivu ya aina hii.
Bromelain ni kimeng’enya kinachopatikana katika kigogo cha katikati ya tunda la nanasi. Kimeng’enya hiki kimebainika kuwa na nguvu sana katika kufanya kazi hii.

Kimeng’anya kingine kinachpatikana katika matunda ambacho pia kinaweza kufanya kazi kama bromelain ni papain.
Papain ni kimeng’enya kinachopatikana kwa wingi katika tunda la papai.

Sababu nyingine kubwa ya maumivu ndani ya mwili ni kemikali zinazoitwa prostaglandins.
Prostaglandins ni kemikali muhimu sana katika kuratibu shughuli kadhaa za baadhi ya viungo ndani ya mwili kama vile utambuzi wa maumivu, upanukaji na usinyaaji wa mishipa ya damu,

ufanyaji kazi wa mafigo, ufanyaji kazi wa mfumo wa uzazi wa mwanamke, ufanyaji kazi wa utando wa ndani wa njia ya chakula, nakadhalika.

Kutokana na moja ya kazi za prostaglands kuwa ni utambuzi wa maumivu, basi mfumo wa tiba za kisasa huchukulia kwamba kemikali hizi ni moja ya vyanzo vikubwa vya maumivu, na zimebuniwa dawa nyingi za kuzuia mwili kuzalisha kemikali hizi, au kuzizuia zisifanye kazi pale ambapo tayari ziko mwilini! Moja ya dawa maarufu sana katika suala hili ni asprin.

Tafiti za kisasa zinaonyesha kuwa asprin inafanya kazi hii kwa weledi mkubwa mno kiasi kwamba inafikia kuharibu seli za utando wa ndani wa njia ya chakula na kumsababishia mtumiaji vidonda hatari vya tumbo! Hata hivyo tafiti pia zimebaini kuwa

kiungo cha tangawizi ni mujarabu sana na salama katika kudhibiti maumivu yanayooanishwa na prostaglandins. Chai ya tangawizi ya moto itakuondolea tatizo hili na kukuacha huru bila maumivu, lakini pia ukiwa salama kabisa.

Mbinu ingine ya asili na salama inayotumika kutuliza maumivu, hasa ya misuli, ni kutumia losheni au cream zenye kiambata cha menthol. Menthol ni kemikali inayochujwa kutoka katika kiziduo cha mmea unaoitwa mint au pepper mint. Losheni au cream

yenye menthol hupakwa kwenye eneo lenye maumivu.
Menthol inapenya na kuingia ndani ambapo hupelekea mishipa ya damu katika eneo hilo kupanuka na kuongeza mtiririko wa damu katika eneo hilo. Kutokana na hali hii kemikali na virutubisho vinavyohitajika kufika katika eneo hilo na

kurekebisha tatizo hufika kwa wingi ndani ya muda mfupi na kufanya kazi yake. Menthol pia hujenga mazingira ya kufanya eneo husika lijione kama limeingiwa na ubaridi. Ubaridi huu hupelekea kupoozwa kwa hali ya kujisikia moto kunakozalishwa na mfuro/uvimbe mwako katika eneo hilo.

KUDHIBITI HOMA
Tofauti na inavyodhaniwa na watu wengi, homa ya kawaida siyo kitu kibaya. Homa inakuwa tishio tu pale joto la mwili linapopanda sana na kuzidi nyuzi joto 104 katika kipimo cha Fahrenheit sawa na nyuzi joto 40 katika kipimo cha Celcius.

Homa ni silaha inayotumia pia na kinga za mwili katika jitihada za kukulinda. Vimelea vingi vya maradhi havina uwezo wa kuishi mwilini na kuzaliana katika joto la mwili linalofikia nyuzi joto hizi. Joto la mwili linapozidi nyuzi joto hizi kunakuwa na hatari ya kuzuka kwa uharibifu wa protini za mwili, haswa vimeng’nya pamoja na mafuta ya mwili.

Kutokana na hali hii ni vizuri kuisimamia homa yoyote kwa ukaribu kuhakikisha kuwa joto haliendi nje ya mipaka iliyokusudiwa. Homa yoyote ambayo joto litakuwa ndani ya mipaka iliyokusudiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa mgonjwa

katika kuhakikisha kuwa anapona haraka.
Ni vizuri kuwa na kipima joto nyumbani kwa ajili ya kazi hiyo, badala ya kukimbilia kunywa panadol kila tunapoona kuwa homa imepanda. Kupitia kipima joto tukiona kuwa homa inataka

kupindukia mipaka ni vizuri kutumia sponji au kitambaa kilicholowekwa kwenye maji ya baridi kumkanda mgonjwa na pia kumpa maji ya kunywa ya kutosha. Mbinu hii itasaidia kushusha joto la mwili la mgonjwa bila kumsababishia madhara. Dawa

kama panadol zitumike tu pale ambapo jitihada nyingine zote za kurejesha joto katika hali ya kawaida zimeshindikana.

Credit : HERBAL IMPACT
 
TFDA YATANGAZA KUFUTA MATUMIZI YA DAWA KADHAA

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefuta usajili na kuzuia uingizaji na uuzaji wa dawa tano za binadamu baada ya kubainika kuwa na madhara baada ya watu 17 kuathiriwa na dawa hizo kwa kuugua kiharusi, kupoteza fahamu na matatizo katika ini.

Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo alizitaja dawa hizo kuwa ni Ketoconazole inayotibu fangasi, Amodiaquine inayotibu malaria, Phenylpropanalamine ya kutibu mafua na kikohozi na dawa za kuua bakteria Chloramphenicol Sodium Cuccinate na Cloxacillin.

Sillo alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa dawa hizo kwa nyakati tofauti zilisababisha madhara ya ini kwa watumiaji.
 
mimba-pc-data.jpg

DAWA KUMI AMBAZO SI SALAMA KUTUMIA MAMA MJAMZITO

Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumboni.

Zifuatazo ni dawa hizo.

1.Albendazole; hii ni dawa ya minyoo ambayo hutumika mara kwa mara kujitibu lakini ni dawa mbaya sana kwa akina mama wajawazito kwani una uwezo wa kutoa mimba kabisa hivyo mebendazole hutumika kama mbadala.

2.Gentamycin: hii ni dawa ambayo iko kwenye mfumo wa sindano tu, mara nyingi hutumika kutibu magonjwa ya mfumo wa mkojo. Dawa hii huharibu kabisa mishipa ya fahamu kitaalamu kama auditory nerve ambayo hutufanya sisi kusikia. Hivyo matumizi ya dawa hii huweza kusababisha mototo kuzaliwa akiwa hasikii yaani kiziwi.

3.Ciproflaxin; hii ni dawa ambayo hupatikana kwenye mfumo wa vidonge na sindano, mara nyingi hutumika kutibu typhoid, UTI au magonjwa ya njia za mkojo na magonjwa baadhi ya zinaa. Dawa hii huharibu ukuuji wa mifupa ya mtoto na huweza kutoa mtoto asiyetembea mwishoni.


4.Doxycline
: hii ni dawa ambayo hupatikana kwa mfumo wa dawa za kumeza kitaaalamu kama capsules, dawa hizi ni antibiyotiki yaani hutumika kuua bakteria wa aina tofauti. Bahati mbaya huweza kuingilia mfumo wa utengenezaji wa mtoto ikitumika miezi mitatu ya mwanzo na kusababisha kuzaliwa na motto mwenye viungo pungufu au zaidi.

5.Dawa ya mseto ya malaria au ALU; dawa hii ni salama kipindi chote cha ujauzito isipokua miezi mitatu ya kwanza ambapo dawa hii huweza kuingilia ukuaji wa maumbile ya kwanza ya mtoto[organogenesis} na kutoa motto asiye na viungo vya kawaida.

6.Metronidazole au fragile; hii dawa ipo kwenye kikundi cha antibayotiki yaani hushambulia bakteria. Dawa hii hutumika mara nyingi kuua minyoo ya amiba na kutibu magonjwa ya mfuko wa uzazi wa mwanamke na ikitumika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito huingilia mfumo wa utengenezaji wa viungo vya mtoto.

7.Mesoprostol: hii ni dawa ambayo iko kwenye kikundi maarufu cha prostanglandins analogue, hutumika sana kuongeza njia ya mlango wa uzazi kipindi cha kujifungua na pia hutumika kutibu madonda ya tumboni hivyo matumizi ya dawa hii kipindi cha ujauzito yana madhara makubwa mno ikiwemo kutoa mimba kabisa.


8.Aspirin: hii ni dawa ya maumivu ambayo humezwa mara kwa mara na hupatikana kirahisi tu, lakini dawa hii ina uwezo wa kusababisha kuvuja kwa damu nyingi hasa mama akipata matatizo flani ya uzazi kama placenta previa. Sio dawa nzuri sana kipindi cha ujauzito.

9.Praziquantel:
hii ni dawa inayotumika kutibu minyoo flani inayopatikana kwenye sehemu za maji yaliyotuama, ni hatari sana kwa wamama wajawazito kwani huiingilia mfumo wa ukuaji wa mtoto.

10.Furesamide: hii ni dawa ambayo inapatikana kwenye kikundi cha diuretic.. mara nyingi hutumika kushusha ongezeko la maji nje ya mfumo husika wa damu [oedema] na kutibu presha kubwa ya damu. Sio dawa nzuri kwa akina mama wajawazito kwani wajawazito hua na presha ya chini kidogo hivyo huweza kuishusha chini kabisa[intravascular volume depletion].



HIZI NDIO DAWA TANO AMBAZO HAZITAKIWI KUPEWA KWA WATOTO KABISA.
Kutokana na uhaba mkubwa sana wa wahudumu wa afya hasa nchi za kiafrika na zingine zinazoendelea wazazi wengi hulazimika kuwapa dawa watoto wao pale wanapougua kwa sababu ya usumbufu mkubwa katika hospitali za serikali na gharama kubwa ya kupata huduma za afya katika hospitali za binafsi.
kiafya mtu yeyote hatakiwi kutoa dawa isipokua daktari tu na hasa nchi zilizoendelea sio rahisi kupata dawa hata duka la madawa bila kuandikiwa na daktari lakini kwetu hilo haliwezekani hivyo naomba niwape baadhi ya dawa ambazo ni marufuku mtoto kupewa kulingana na umri wake.

dawa ya mseto ya malaria: hii ni dawa inayotumika sana kutibu malaria na utafiti umeonyesha inafanya kazi vizuri na ndio maana ni chaguo la kwanza kwa matibabu ya malaria tanzania, inapatikana kwa mfumo wa vidonge na maji lakini dawa hii haitakiwi kupewa kabisa kwa mtoto chini ya miezi mitatu au mtoto chini ya kilo tano kwani uwezo wao wa maini kufanya kazi ni mdogo sana na hauwezi kupambana na dawa hii.hivyo watoto wa umri huo wanatakiwa watumie kwinini ya maji au sindano kutibu malaria.

aspirin: hii ni dawa ya muda mrefu sana tangu imegunduliwa, hutumika kutibu maumivu ya mwili na kichwa na kushusha homa kwa rika mbalimbali lakini pia hutumika kutibu matatizo ya moyo ikipewa kwa dozi ndogo lakini dawa hii ni hatari kwa watu wenye umri chini ya miaka kumi na nane, husababisha kuvimba kwa ubongo na maini kitaalamu kama reyes syndrome. hivyo watu wa umri huu ni vizuri wakatumia dawa kama paracetamol, diclofenac, ibuprofen na kadhalika.

ciprofloxacin; hizi ni dawa zinazopatikana kwenye kikundi kinachoitwa quinolones, zingine ni norfloxacin na nalidixic acid. dawa hii hutumika kuua bacteria na mara nyingi hapa tanzania hutumika kutibu typhoid, uti, magonjwa ya zinaa, magonjwa ya kizazi na mengine mengi. dawa hii ni marufuku kwa watoto chini ya miaka 12 kwani husababisha kuharibika kwa misuli inayotengeneza mifupa kitaalamu kama cartilage hali ambayo inaweza ikamfanya mtoto asitembee au asiongezeke urefu kabisa.

doxycline; hii ni dawa inayotumika kuua bacteria kitaalamu kama antibiotics, inapatikana kwenye group la dawa linaitwa tetracycline group. dawa hizi hutumika mara nyingi kutibu matibabu ya uzazi, magonjwa ya zinaa hata uti kwa hapa tanzania, lakini dawa hii ni marufuku chini ya umri wa miaka 12 kwani husababisha kubadilika kwa meno kua rangi ya njano kabisa kwa watoto na rangi hiyo haitoki tena na pia hukaa kwenye mifupa yao na kuzuia ukuaji.

chlorampenicol; hii ni dawa ambayo hutumika kutibu magonjwa yanayosababishwa na bacteria, kwa hapa tanzania dawa hii hutumika kutibu typhoid mara nyingi kwa watoto chini ya miaka 12, lakini dawa hii ni hatari sana kwa watoto chini ya mwaka mmoja kwani huleta hali inayoitwa gray syndome ambayo iliua watoto wengi sana kabla wanasayansi hawajagundua madhara haya. hata hivyo dawa hii inatakiwa itumike sio zaidi ya wiki mbili kwa wakati mmoja hata kwa watu wazima kwani husababisha kansa ya damu na upungufu wa damu kitaalamu kama aplastic anaemia ambayo haiponi kabisa. kwa maelezo zaidi soma hapa
SECRETS OF GOOD HEALTH
 
download.jpg


Quinine yasababisha mtoto kuzaliwa kiziwi

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam


MATUMIZI yasiyo sahihi ya dawa zenye sumu kali ikiwamo Quinine inayotibu malaria imetajwa kuwa hatari kwa sababu huchangia kwa asilimia kubwa mtoto kuzaliwa akiwa na tatizo la usikivu (kiziwi).

Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Idara ya Masikio, Pua na Koo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Edwin Liyombo, alipozungumza na MTANZANIA Jumapili hospitalini hapo juzi kuhusu madhara yanayosababishwa na dawa.

Alisema hatari zaidi hujitokeza pale mjamzito anapotumia dawa hizo bila kufuata ushauri wa daktari hasa anapozidisha kipimo cha dozi anayopaswa kuitumia.

Dk. Liyombo alisema pamoja na Quinine dawa nyingine inayochangia mtoto kupatwa na tatizo hilo ni Gentamicin ambayo hutumika kutibu maradhi ya UTI.

“Wataalamu wa afya huwa tunawashauri akina mama kuhudhuria kliniki kila wakati na kufuata ule ushauri tunaowapa kwa sababu matumizi holela ya dawa zenye sumu ni hatari, anapozidisha dozi, sumu zile huenda moja kwa moja kuua seli zilizoko ndani ya sikio katika eneo la cochlea.

“Seli hizo zinapokufa, sikio hushindwa kupokea mawimbi ya sauti na kwa kuwa mawimbi ya sauti hayafiki kwenye cochlea ili yasafirishwe kwenda kwenye ubongo kupitia mshipa wa fahamu ulioko kichwani, mtu huyo anakuwa kiziwi,” alisema.

Dk. Liyombo alisema kwa kuwa sikio la mtoto mwenye tatizo hushindwa kupokea mawimbi ya sauti hivyo moja kwa moja hupatwa na tatizo la kuwa bubu.

“Kuwa bubu ni matokeo ya kutokusikia kile kinachozungumzwa. Katika hatua za ukuaji wa mtoto tunatarajia anapofikisha miezi minane au tisa anakuwa ameanza kusikia na kutamka baadhi ya maneno, mfano baba, mama, dada au kaka.

“Sasa wazazi wengi hawana elimu ya kutosha au wanapoona mtoto anachelewa kuongea wanadhani ni jambo la kawaida kumbe unakuta tayari kuna tatizo ndio maana wengi wanafikishwa hospitalini wakiwa wamechelewa,” alisema.

Pia alisema katika kliniki hiyo, idadi ya watoto wanaosumbuliwa na tatizo la usikivu imekuwa ikiongezeka kadiri miaka inavyozidi kusonga mbele.

 
download.jpg


MADHARA YA ASPIRIN KWA WATU WENYE UMRI MKUBWA

Vidonge vya Aspirin ni hatari kwa watumiaji wa umri wa zaidi ya miaka 75

Watu walio na umri wa zaidi ya miaka 75 ambao hutumia dawa aina ya Aspirin baada ya kupata kiharusi au maradhi ya moyo wako hatarini kupata matatizo ya kuvuja damu tumboni,Shirika la utafiti wa kitabibu Lancet limeeleza.

Wanasayansi wanasema, kupunguza athari hizo , watu walio na umri mkubwa wanapaswa kumeza dawa za kuzuia maradhi ya tumboni (PPI)

Lakini wamesisitiza kuwa Aspirin ina faida muhimu kama vile kuzuia maradhi ya moyo

Utafiti wa kitabibu nchini Uingereza umeashiria kwamba kumeza vidonge vya dawa aina ya Aspirin kuna athari kubwa zaidi kuliko ilivyodhaniwa hapo awali hususan kwa watu wenye umri mkubwa.

Dawa hiyo ambayo inatumiwa sana kuzuia mshtuko wa moyo na maradhi ya kiharusi imehusishwa kwa siku nyingi kusababisha matatizo ya uvujaji wa damu ndani ya tumbo.

Wataalam hao wametahadharisha kuwa kusitisha ghafla matumizi ya Aspirin kunaweza kuleta madhara, hivyo mtu yeyote anashauriwa kupata ushauri wa Daktari ikiwa anatakiwa kubadili dawa.

Athari ya Aspirini juu ya Hatari ya Kuharibu

Kuna habari nyingi zinazopingana kuhusu usalama wa kutumia aspirini wakati wa ujauzito. Vyanzo vingine vinasema inaweza kuongeza hatari yako ya kuharibika kwa mimba , wakati wengine wanasema kinyume. Ambayo ni sahihi? Inawezekana wote wawili.

Jinsi Aspirini Inaweza Kuongeza Hatari ya Kutoroka
Masomo machache yameunganisha darasa la wavulanaji wanaojulikana kama madawa yasiyo ya steroidal ya kupambana na uchochezi (NSAIDs), ambayo yanajumuisha aspirin pamoja na kiasi kikubwa kila painkiller ya kila kitu isipokuwa Tylenol, na kupoteza mimba.

Uchunguzi wa 2001 ulikuja na matokeo ya kushangaza ya kuwa NSAID wakati wa ujauzito uliongeza hatari ya kuharibika kwa mimba na asilimia 80%.

Uchunguzi tofauti wa 2003 ulifafanua matokeo hayo, akibainisha kwamba NSAID zilihusiana na utoaji wa mimba ambapo Tylenol haikuwa, na kuongoza waandishi kutaja kuwa NSAID wenyewe zinaweza kuwasababishwa na misoro.

Lakini uchunguzi wa 2006 haukupata ushahidi wa ushirikiano kati ya aspirini wakati wa ujauzito na utoaji wa mimba - hivyo ukweli hauja wazi. Inawezekana kuwa jambo lingine linalohusika na chama kilichopatikana katika masomo ya kwanza. (Kwa mfano, inaweza kuwa kwamba hali yoyote inasababisha wanawake kutumia NSAID ingekuwa hatari kubwa zaidi ya kuharibika kwa mimba.) Hivi sasa, madaktari huwa wanategemea Tylenol kama chaguo salama kabisa la mimba.

Jinsi Aspirini Inaweza Kupunguza Hatari ya Kuondoka
Inaonekana kama kupinga kusema kwamba aspirini inaweza kupunguza hatari ya kuharibika kwa mimba baada ya kusema ni bora kuepuka kuitumia wakati wa ujauzito.

Jibu ni kipimo na sababu ya matumizi.

Hakuna ushahidi kwamba aspirini ina faida yoyote kwa mwanamke mjamzito wastani, lakini aspirin ya chini ya kipimo inaweza kuwa na manufaa kwa wanawake ambao wamekuwa na mimba za kawaida zinazohusiana na ugonjwa wa antiphospholipid au matatizo mengine ya kuzuia damu. Mara nyingi madaktari hutoa "aspirin" ya mtoto pamoja na heparini ili kuzuia utoaji wa mimba kwa wanawake wenye masharti haya, na madaktari wengine hupendekeza aspirin kwa wanawake wengine ambao wamepata mimba za kawaida zisizoelezwa.

Lakini katika aina hii ya itifaki, dozi ya aspirini ni kawaida kuhusu sehemu ya nne ya kile kilichowekwa kwenye kibao cha painkiller, hivyo athari kwenye mwili inaweza kuwa tofauti kabisa na ya dozi kubwa. (Na kumbuka kwamba matumizi yoyote ya aspirin wakati wa ujauzito inapaswa kuwa chini ya uongozi wa daktari.)

Aspirini ni nini?
Aspirini ni dawa ya kupambana na uchochezi ya NSAID. Aspirini ni salicylate na dawa zilizowekwa kwa wakati wote.

Dawa-aspirin ya nguvu inatolewa ili kupunguza maumivu ya arthritis ya damu, osteoarthritis na hali nyingine za rheumatologic. Aspirini isiyofaa, au aspirini ambayo inaweza kununuliwa juu ya counter, hutumiwa kutibu maumivu ya kila siku, kama vile maumivu ya kichwa. Siri ya aspirin isiyoweza kutumika pia inaweza kutumika kutibu homa. Aidha, aspirin pia inatajwa kwa watu wenye ugonjwa wa moyo kuzuia mshtuko wa moyo ujao. Aspirini pia hutumiwa kuzuia kiharusi.

Aspirini na madawa mengine yasiyo ya kupinga uchochezi (NSAIDs) hufanya kazi kwa kuzuia hatua ya cyclooxygenase ya enzyme. Cyclooxygenase husababisha malezi ya prostaglandini ambayo husababisha kuvimba, homa na maumivu. Kwa hiyo, aspirin inhibitisha uzalishaji wa prostaglandini na hivyo husaidia kupunguza uvimbe, homa na maumivu.

Vyanzo

James, AH, LR Brancazio, na T. Bei, "Aspirini na matokeo ya uzazi." Uchunguzi wa Uzazi na Uzazi wa Wanawake Januari 2008. Ilifikia Agosti 26, 2008.

Keim, SA, na MA Klebanoff, "matumizi ya Aspirini na hatari ya kuharibika kwa mimba." Epidemiolojia Julai 2006.

Li, De-Kun, Liyan Liu, na Roxana Odouli, "Mkazo wa madawa yasiyo ya steroidal kupambana na uchochezi wakati wa ujauzito na hatari ya kuharibika kwa mimba: utafiti wa ushirikiano wa kikundi." BMJ 2003.

Nielsen, Gunnar Lauge, Henrik Toft Sorensen, Helle Larsen, na Lars Pedersen, "Hatari ya matokeo mabaya ya kuzaa na kupoteza mimba kwa watumiaji wajawazito wa madawa yasiyo ya steroidal ya kupinga uchochezi: utafiti wa uchunguzi wa idadi ya watu na utafiti wa kudhibiti kesi." BMJ 2001.

Aspirin inaweza kusababisha damu kuvuja tumboni

Wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu Paracetamol, ambayo ni maarufu kwa jina la Panadol, tuliona kwamba dawa hiyo inapotumiwa kiholela, inaweza kusababisha madhara kwa viungo vya mwili kama vile ini, figo na ubongo.

Leo katika mfululizo huu wa kuzungumzia madhara yatokanayo na matumizi mabaya ya dawa za maumivu, nitazungumzia Asprin.
Siyo watu wengi wanapendelea kutumia Aspirin kwa ajili ya kutuliza maumivu kama ilivyo kwa Panadol na Diclopar au diclofenac.

Pamoja na mazingira hayo, kuna wanaoitumia bila kujua, kupitia dawa nyingine zilizochanganywa na paracetamol pamoja na caffeine.
Dawa hizo ni kama vile Headex, Mifupen, Action ama dakika tatu. Zote hizo ni mchanganyiko wa dawa kadhaa, asprini ikiwa ni miongoni.

Dawa hizi kwa sasa zinapatikana hadi kwenye maduka ya vyakula na hazina udhibiti wowote kwani hata machinga anaweza kuzijumuisha kwenye bidhaa anazouza.
Kama nilivyoeleza awali, matumizi holela ya dawa hizi za kutuliza maumivu yamekithiri, hivyo baadhi hutembea nazo mifukoni au kwenye pochi.

Watu wa namna hii huwa hawatibu chanzo cha matatizo yao, bali wanatumia dawa hizo ili kujipa ahueni ya maumivu ambayo ni dalili tu ya yale yanayowasumbua.
Leo katika kuzungumzia Aspirin nimezungumza na Mtaalamu wa Dawa nchini, Mfamasia Mildred Kinyawa.

Kinyawa ambaye ni Msajili wa Baraza la Wafamasia Tanzania anaanza kwa kueleza:
Kwa jumla, kitu chochote kikishaitwa dawa ni muhimu kutumiwa kwa uangalifu. Hakuna dawa isiyo na kiwango fulani cha madhara kwa mtumiaji. Pia hiyo ni mbaya zaidi kwa wale wanaotumia kiholela.

Anasema kuwa kitaalamu Aspirin ni dawa nzuri kuliko dawa nyingine za kutuliza maumivu kwa sababu huweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.
Anabainisha kuwa kama ilivyo paracetamol, Aspirin inaweza kutuliza maumivu madogomadogo kama vile kuumwa kichwa, mafua na kushusha homa.

Kinyawa anafafanua kwamba, tofauti na Paracetamol, Aspirin inaweza kutuliza maumivu makali kama vile ya mifupa, meno na hata kutibu uvimbe.
Faida nyingine za Aspirin ni kwamba huweza kumsaidia mtu asipate matatizo ya moyo au kiharusi kutokana na damu kuganda na kuziba mishipa ya damu.

Anaeleza kuwa Aspirin huweza kuyeyusha vipande vidogovidogo vya damu iliyoganda na kujikuta ikiendelea kusafirishwa kwenye mfumo wa damu.
Kinyawa anaielezea damu iliyoiganda kuwa inaweza kuziba mirija kwenye moyo au ubongo na kusababisha madhara makubwa ikiwamo kifo cha ghafla.

Athari za Aspirin

Mfamasia huyo anasema kwamba kwa namna ilivyotengenezwa, Asprin ina asili ya aside, hivyo inapotumiwa wakati tumbo likiwa wazi hukwangua tumbo na kumsababishia vidonda tumboni.

Kwa watu wenye matatizo ya vidonda vya tumbo, hushauriwa kutokutumia kabisa asprini kwa sababu huchangia kuongeza tatizo.
Tafiti nyingine ambazo zimewahi kufanywa na kuandikwa kwenye majarida mbalimbali ya afya duniani zinaonyesha kuwa mtu akitumia aspirin na pombe anaweza kusababisha damu kuvuja tumboni kiasi cha kuhatarisha maisha yake.

Utafiti uliofanywa mwaka 2009, ulibaini kwamba matumizi mabaya ya Aspirin kutibu mafua makali kwenye kipindi cha mwaka 1918-19 ilisababisha athari mbalimbali zikiwamo za mapafu kujaa maji, vifo na udhaifu wa mwili kushambuliwa na bakteria pamoja na virusi.
Utafiti huo ulisababisha matumizi ya Aspirin kupungua na hata kupendekezwa isitumike kwa watoto chini ya miaka 16.


Inafanyaje kazi?
Aspirin inafanya kazi kwa kupunguza uzalishaji wa kemikali inayojulikana kama prostaglandin ambayo kwa kawaida husababisha maumivu.

Mara nyingi Aspirin inapendekezwa kutumiwa na watu wazima na mtumiaji awe ameshakula au kutumia wakati anakula.
 
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
Pole sana. Kisukari hakina tiba. Ukikutana na mtu wa mitishamba akakuambia anatibu kisukari huyo ni mwongo. Kweli kuna dawa za mitishamba zenye kusaidia au hata kutibu baadhi ya magonjwa lakini inatakiwa uwe makini sana hasa siku hizi kwa sababu matapeli wamekuwa wengi. Mtu anayejua dawa za kweli hatozi gharama bali hukupa dawa na ukipona ndiyo unama chochote. Au chaji yake ni inakuwa kidogo sana. Ogopa hawa wanatoza fedha nyingi.
 
download.jpg


MADHARA YA KUTUMIA DAWA YA KIZUNGU YA KUTIBU MARADHI YA KISUKARI Mylan-Metformin
(metformin)

DIN (Drug Identification Number)
02229656 MYLAN-METFORMIN 850MG Tablet
02148765 MYLAN-METFORMIN 500MG Tablet

How does this medication work? What will it do for me?
Metformin belongs to the class of medications called oral hypoglycemics, which are medications that lower blood sugar. It is used to control blood glucose (blood sugar) for people with type 2 diabetes. It is used when diet, exercise, and weight reduction have not been found to lower blood glucose well enough on their own.

Metformin works by reducing the amount of glucose made by the liver and by making it easier for glucose to enter into the tissues of the body. Metformin has been found to be especially useful in delaying problems associated with diabetes for overweight people with diabetes.

This medication may be available under multiple brand names and/or in several different forms. Any specific brand name of this medication may not be available in all of the forms or approved for all of the conditions discussed here. As well, some forms of this medication may not be used for all of the conditions discussed here.

Your doctor may have suggested this medication for conditions other than those listed in these drug information articles. If you have not discussed this with your doctor or are not sure why you are taking this medication, speak to your doctor. Do not stop taking this medication without consulting your doctor.

Do not give this medication to anyone else, even if they have the same symptoms as you do. It can be harmful for people to take this medication if their doctor has not prescribed it.

What form(s) does this medication come in?
Mylan-Metformin is no longer being manufactured for sale in Canada. For brands that may still be available, search under metformin. This article is being kept available for reference purposes only. If you are using this medication, speak with your doctor or pharmacist for information about your treatment options.

How should I use this medication?
The recommended adult dose of metformin ranges from 500 mg 3 or 4 times a day to 850 mg 2 or 3 times a day. The maximum daily dose should not exceed 2,550 mg. Tablets should be taken with food whenever possible to reduce the risk of nausea and vomiting. Metformin may be used alone or with other medications that reduce blood sugar. To ensure that the medication is working well, monitor your blood glucose on a regular basis as directed by your doctor or diabetes educator.

Many things can affect the dose of medication that a person needs, such as body weight, other medical conditions, and other medications. If your doctor has recommended a dose different from the ones listed here, do not change the way that you are taking the medication without consulting your doctor.

It is important to take this medication exactly as prescribed by your doctor. If you miss a dose, skip the missed dose and continue with your regular dosing schedule. Do not take a double dose to make up for a missed one. If you are not sure what to do after missing a dose, contact your doctor or pharmacist for advice.

Store this medication at room temperature, protect it from light and moisture, and keep it out of the reach of children.

Do not dispose of medications in wastewater (e.g. down the sink or in the toilet) or in household garbage. Ask your pharmacist how to dispose of medications that are no longer needed or have expired.

Who should NOT take this medication?
Do not take this medication if you:

are allergic to metformin or any ingredients of this medication
are experiencing or recovering from severe infections, trauma, or surgery
are pregnant or breast-feeding
are suffering severe dehydration (have lost a lot of water from your body)
are undergoing radiologic studies involving use of iodinated contrast materials
drink large amounts of alcohol in the short term or on a regular basis
have a history of lactic acidosis
have acute/chronic metabolic acidosis (too much acid in the blood), diabetic ketoacidosis with or without coma, or history of ketoacidosis with or without coma
have diseases associated with lack of oxygen to the tissues such as cardio-respiratory insufficiency
have reduced kidney function
have severe liver disease
have type 1 diabetes (people with type 1 diabetes should always be using insulin)
have very poor blood glucose control (these people should not take this medication as the only antidiabetic agent)
What side effects are possible with this medication?
Many medications can cause side effects. A side effect is an unwanted response to a medication when it is taken in normal doses. Side effects can be mild or severe, temporary or permanent.

The side effects listed below are not experienced by everyone who takes this medication. If you are concerned about side effects, discuss the risks and benefits of this medication with your doctor.

The following side effects have been reported by at least 1% of people taking this medication. Many of these side effects can be managed, and some may go away on their own over time.

Contact your doctor if you experience these side effects and they are severe or bothersome. Your pharmacist may be able to advise you on managing side effects.

diarrhea
dizziness or lightheadedness
increased sensitivity of skin to the sun
loss of appetite
metallic taste in mouth
nausea
passing of gas
stomach ache
vomiting
weight loss
Although most of the side effects listed below don't happen very often, they could lead to serious problems if you do not check with your doctor or seek medical attention.

Check with your doctor as soon as possible if any of the following side effects occur:

decreased coordination
feeling cold
feeling extremely weak, tired, or uncomfortable
low blood sugar (mild), including:
anxiety
behavioural changes similar to being drunk
blurred vision
cold sweats
confusion
cool, pale skin
difficulty concentrating
drowsiness
excessive hunger
fast heartbeat
headache
nausea
nervousness
nightmares
restless sleep
shakiness
slurred speech
peripheral neuropathy (e.g., numbness, prickling, tingling in hands or feet)
signs of anemia (low red blood cells; e.g., dizziness, pale skin, unusual tiredness or weakness, shortness of breath, rapid heartbeat, dark urine)
slow or irregular heartbeat
thinking difficulties (e.g., poor decision making, decreased concentration, twitching, trembling, trouble speaking or swallowing)
trouble breathing
unusual muscle pain
Stop taking the medication and seek immediate medical attention if any of the following occur:

lactic acidosis (quick and severe), including:
fast, shallow breathing
muscle pain or cramping
slow or irregular heartbeat
unusual sleepiness
unusual stomach ache (after the initial stomach ache that can occur at the start of therapy)
unusual tiredness or weakness
seizure
signs of pancreatitis (e.g., abdominal pain on the upper left side, back pain, nausea, fever, chills, rapid heartbeat, swollen abdomen)
Some people may experience side effects other than those listed. Check with your doctor if you notice any symptom that worries you while you are taking this medication.

Are there any other precautions or warnings for this medication?
Before you begin taking a medication, be sure to inform your doctor of any medical conditions or allergies you may have, any medications you are taking, whether you are pregnant or breast-feeding, and any other significant facts about your health. These factors may affect how you should take this medication.

Alcohol intake: Anyone taking metformin should avoid excessive alcohol intake.

Blood sugar control: If you have fever, trauma, infection, or surgery, you may have a temporary loss of blood sugar control. At such times, your doctor may think it is necessary to stop metformin and temporarily inject insulin. Metformin may be started again after the problem is resolved.

Blood sugar monitoring: Monitor your blood sugar regularly at intervals as discussed with your doctor or diabetes educator.

Diabetes complications: The use of metformin (or any other medication used for diabetes) will not prevent the development of complications particular to diabetes mellitus (e.g., kidney disease, nerve disease, eye disease).

Diet: Metformin is a treatment to be taken in combination with a proper diet. Metformin is not a substitute for proper diet.

Dye or contrast agents: If you are going to have an X-ray procedure that uses dye or a contrast agent, you may need to stop taking this medication for a short time. Contact your doctor for instructions.

Kidney problems: Kidney disease or reduced kidney function causes this medication to build up in the body, causing side effects. If you have kidney problems, your doctor should closely monitor your condition while you are taking metformin, as it may affect kidney function.

Lactic acidosis: Lactic acidosis is a rare but serious problem that occurs due to metformin accumulation (i.e., the body doesn't get rid of it fast enough) during treatment. If you have severe kidney disease you are at higher risk of developing lactic acidosis. Since alcohol may increase the risk of lactic acidosis, do not drink a lot of alcohol over the short- or long-term while taking this medication. When it does occur (very rarely), it is fatal in 50% of cases. There have been no reports of lactic acidosis in Canada when metformin was used as directed. If you experience symptoms of lactic acidosis (e.g., weakness, tiredness, drowsiness, unusual muscle pain, trouble breathing, stomach pain with nausea, vomiting or diarrhea, feeling cold, dizziness, light-headedness, or slow or irregular heartbeat), stop taking this medication and get immediate medical attention.

Liver function: Decreased liver function has been linked to lactic acidosis. This medication is not recommended for people with severely reduced liver function. If you have moderately reduced liver function, discuss with your doctor how this medication may affect your medical condition, how your medical condition may affect the dosing and effectiveness of this medication, and whether any special monitoring is needed.

Low blood sugar: Under usual circumstances, low blood sugar does not occur for people who take only metformin. Low blood sugar could occur when not enough food is eaten, especially when strenuous exercise is undertaken at the same time or when large amounts of alcohol have been consumed.

Reduced response: Over a period of time, you may become progressively less responsive to a particular treatment for diabetes because your diabetes worsens. If metformin fails to lower blood sugar to target levels, talk to your doctor. Your doctor may want to stop metformin or recommend another medication.

Surgery: This medication should be stopped temporarily for surgery (except for minor surgery where food and fluid intake is not restricted). You will be restarted on this medication once you are eating and drinking and your kidney function has been tested and is normal. Talk to your doctor for specific instructions.

Thyroid function: This medication may decrease thyroid hormone levels. Your doctor will monitor your thyroid levels with blood tests while you are taking this medication.

Vitamin B12 levels: This medication may decrease vitamin B12 levels. Your doctor will monitor your B12 levels with blood tests while you are taking this medication.

Pregnancy: This medication should not be used during pregnancy. If you become pregnant while taking this medication, contact your doctor immediately.

Breast-feeding: Metformin is believed to pass into breast milk. This medication should not be used if you are breast-feeding.

Children: The safety and effectiveness of this medication have not been established for children.

Seniors: Kidney function often decreases with age. As a result, seniors may be more likely to experience side effects of this medication.

What other drugs could interact with this medication?
There may be an interaction between metformin and any of the following:

acetazolamide
alcohol
angiotensin converting enzyme inhibitors (ACEIs; captopril, enalapril, ramipril)
anti-malarial medications (e.g., hydroxychloroquine, quinine)
antipsychotics (e.g., cariprazine, clozapine, olanzapine, quetiapine, risperidone)
beta adrenergic blockers (e.g., acebutolol, carvedilol, levobunolol, timolol)
birth control pills
bismuth subsalicylate
buserelin
cancer medications (e.g., belzutifan, bortezomib, vorinostat)
cephalexin
cimetidine
corticosteroids (e.g., dexamethasone, prednisone)
danazol
diabetic drugs (e.g., gliclazide, insulin, linagliptin, lixisenatide, repaglinide)
disopyramide
diuretics (water pills; e.g., furosemide, hydrochlorothiazide)
elagolix
epinephrine
estrogens (e.g., conjugated estrogen, estradiol, ethinyl estradiol)
everolimus
glucagon
glycopyrrolate
goserelin
hepatitis C antivirals (e.g., glecaprevir, ledipasvir, voxilaprevir)
HIV integrase inhibitors (e.g., bictegravir, dolutegravir)
HIV protease inhibitors (e.g., atazanavir, darunavir, ritonavir)
hydroxychloroquine
iodinated contrast material
lamotrigine
leuprolide
linezolid
megestrol
mifepristone
monoamine oxidase inhibitors (MAOIs; e.g., moclobemide, phenelzine, rasagiline, selegiline, tranylcypromine)
nicotinic acid (niacin)
nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs; e.g., celecoxib, diclofenac, ibuprofen, ketorolac, naproxen)
patiromer
pegvisomant
pentamidine
progestins (e.g., dienogest, medroxyprogesterone, norethindrone)
protein kinase inhibitors (e.g., ceritinib, nilotinib, sunitinib)
quinolone antibiotics (e.g., ciprofloxacin, norfloxacin, ofloxacin)
ranolazine
selective serotonin reuptake inhibitors (SSRIs; e.g., citalopram, fluoxetine, paroxetine, sertraline)
sirolimus
somatostatin-like medications (e.g., lanreotide, octreotide, pasireotide)
somatropin
sulfamethoxazole
tacrolimus
terbutaline
testosterone
topiramate
tramadol
triptorelin
trimethoprim
verapamil
warfarin
If you are taking any of these medications, speak with your doctor or pharmacist. Depending on your specific circumstances, your doctor may want you to:

stop taking one of the medications,
change one of the medications to another,
change how you are taking one or both of the medications, or
leave everything as is.
An interaction between two medications does not always mean that you must stop taking one of them. Speak to your doctor about how any drug interactions are being managed or should be managed.

Medications other than those listed above may interact with this medication. Tell your doctor or prescriber about all prescription, over-the-counter (non-prescription), and herbal medications you are taking. Also tell them about any supplements you take. Since caffeine, alcohol, the nicotine from cigarettes, or street drugs can affect the action of many medications, you should let your prescriber know if you use them.

All material copyright MediResource Inc. 1996 – 2023. Terms and conditions of use. The contents herein are for informational purposes only. Always seek the advice of your physician or other qualified health provider with any questions you may have regarding a medical condition. Source: www.medbroadcast.com/drug/getdrug/Mylan-Metformin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom