"Dawa za Kulevya"za Manji si Dawa za Kulevya

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,140
Reaction score
1,983
JF Kwenu,

Baada ya kupimwa mkojo, mfanyabiashara Yusuph Manji alibainika kutumia dawa aina ya Benzodiazepine, mchanganyiko wa Benzine na Diazepine(Benzine ring fusion with Dazepine)

Kitabibu, hii ni dawa inayotibu matatizo mbalimbali ambayo yanahusiana na afya ya akili. Dawa hii haitolewi bila idhini ya daktari na hivyo iko kwenye utaratibu wa prescription only medication. Inaweza kuwa na madhara yasiyotarajiwa(side effects) hivyo inahitaji uangalifu.

Dawa hii hutumia jina la biashara(brand name) la Activan. Jina lingine ni Lorazepam. Inatibu hofu isiyo bayana(anxiety disorder),kutopata usingizi(trouble sleeping),kifafa ambacho hakijakomaa(status epilepticus),watu wanaoacha ulevi(alcohol withdrawal),kupata hofu kwa vitu fulani tu(specific phobia),kutaharuki mapema na kwa urahisi(panic disorder),kuwa na aibu maeneo fulani au katika hadhira fulani(selective mutism).
Anxiety is a worry about future events-hofu kwa mambo yajayo, fear is worry about current events, hofu kwa mambo ya sasa.

Orodha ya matatizo yanayotibiwa na "dawa za kulevya za Manji" ni ndefu,nimejaribu kutaja kwa uchache na kutafsiri matatizo hayo ingawa inawezekana nisiwe sahihi kwa asilimia 100.

Pengine kinachowindwa na mateja katika Lorazepam ni matokeo/madhara ya muda mfupi ya dawa ambayo ni kulewa(sedation/sleepiness) na dizziness (kizunguzungu).

Sijui kama Yusuph Manji aliandikiwa dawa hizo au aliamua kujipa uraibu kwa bei rahisi. Kama aliandikiwa na daktari wake, inabidi daktari huyo afike mahakamani kutoa ushahidi.
Benzodiazepine sio "unga".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT..umh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manji hana kesi Ila USISIEMU wake ndio unaomponza, kwakua chanzo cha mateso yoote nichuki na kisasi cha mkulu.
Alihaidi watu aina ya manji wataishi kama mashetani ,kwakudai kuwa walikuwa wakiishi kama malaika.
Nichuki tu za kisiasa hakuna asiejua.
Ngoja tuendelee kushuhudia Hii ngoma ya kisukuma itaishia wapi.
 
Sioni haja ya kutafuta documents nyiingi kwa kesi ya Manji.

Hebu tafakari ilivyokuwa kwa kesi ya Babu Seya. Mlolongo utakuwa ule ule hata kwa Manji na ikiwezekana huko mbeleni hata nduguze, jamaa na marafiki watakuja bainika kuwa nao wanatumia unga au kukamatwa na misokoto kadhaa ya bangi then kufunguliwa kesi ya Jinai ambayo wahusika hawataweza pata dhamana ili wakae rumande miaka kama 3 wakati kesi yao ikiendelea kusikilizwa, then 2020 hukumu itatoka wafungwe miaka kadhaa kwa makosa ya uhujumu uchumi, madawa nk

Ogopa sana mkubwa akiamua kukutengenezea kesi. Lissu ana akili mingi sana na ndio maana alikataa kupimwa mkojo. Pale angegundulika kutumia kama ina ishirini za madawa.
 
Hii kasi haikustahili. Niliiona tokea mwanzo. Hivi ni visa tu vya kibiashara, siasa na maisha binafsi. Manji ninayemfahamu mimi hatumii wala kufanya biashara ya madawa.
 
KWISHNE
MKEMIA MKUU KAMMALIZA BASHITE...SASA TUSUBIRI KESI KWA BASHITE KUDAIWA FIDIA ...SIJUI MJOMBA WAKE ATAMLIPIA AMA VIPI LAKINI KESI KWA BASHITE IMEWIVA,

HATA KINA WEMA NA WENZAKE MKIMALIZA KESI ZENU SALAMA JISAFISHENI KUMDAI FIDIA BASHITE
MAMBO YA KUSEMA NAMUACHIA MUUNGU HAYAPO KWENYE HAKI ZAKO
 
JF Kwenu,

Baada ya kupimwa mkojo, mfanyabiashara Yusuph Manji alibainika kutumia dawa aina ya Benzodiazepine, mchanganyiko wa Benzine na Diazepine(Benzine ring fusion with Dazepine)

Kitabibu, hii ni dawa inayotibu matatizo mbalimbali ambayo yanahusiana na afya ya akili. Dawa hii haitolewi bila idhini ya daktari na hivyo iko kwenye utaratibu wa prescription only medication. Inaweza kuwa na madhara yasiyotarajiwa(side effects) hivyo inahitaji uangalifu.

Dawa hii hutumia jina la biashara(brand name) la Activan. Jina lingine ni Lorazepam. Inatibu hofu isiyo bayana(anxiety disorder),kutopata usingizi(trouble sleeping),kifafa ambacho hakijakomaa(status epilepticus),watu wanaoacha ulevi(alcohol withdrawal),kupata hofu kwa vitu fulani tu(specific phobia),kutaharuki mapema na kwa urahisi(panic disorder),kuwa na aibu maeneo fulani au katika hadhira fulani(selective mutism).
Anxiety is a worry about future events-hofu kwa mambo yajayo, fear is worry about current events, hofu kwa mambo ya sasa.

Orodha ya matatizo yanayotibiwa na "dawa za kulevya za Manji" ni ndefu,nimejaribu kutaja kwa uchache na kutafsiri matatizo hayo ingawa inawezekana nisiwe sahihi kwa asilimia 100.

Pengine kinachowindwa na mateja katika Lorazepam ni matokeo/madhara ya muda mfupi ya dawa ambayo ni kulewa(sedation/sleepiness) na dizziness (kizunguzungu).

Sijui kama Yusuph Manji aliandikiwa dawa hizo au aliamua kujipa uraibu kwa bei rahisi. Kama aliandikiwa na daktari wake, inabidi daktari huyo afike mahakamani kutoa ushahidi.
Benzodiazepine sio "unga".

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubariki sana kwa andiko hili , umeandika ukweli kwa 99% ( nazifahamu dawa hizo kutoka darasani ) , tumhukumu Manji kwa ubaya wake lakini asionewe kwa kukomolewa .
 
Nimeicheki kwe taarifa ya habari nikajisemea moyoni kuwa kumfunga Tajiri kwa kosa alilojitendea mwenyewe ni ngumu sana. Alafu manji kajiachia kama Sadaam Hussein rais wa Kuwait.
 
Utetezi ni rahisi tu kwa kuthibitisha kupewa dawa na daktari wake zinazotoa matokeo kama hayo kwenye mkojo.
Hata hivyo, anaweza kubishania utaratibu na matokeo ya vipimo kama yalikuwa kinyume na sheria na hivyo asiwe na kesi ya kujibu.
Swali la kujiuliza ni je serikali ina nia ovu dhidi ya Manji kiasi cha kutunga kesi za uongo?
 
KWISHNE
MKEMIA MKUU KAMMALIZA BASHITE...SASA TUSUBIRI KESI KWA BASHITE KUDAIWA FIDIA ...SIJUI MJOMBA WAKE ATAMLIPIA AMA VIPI LAKINI KESI KWA BASHITE IMEWIVA,

HATA KINA WEMA NA WENZAKE MKIMALIZA KESI ZENU SALAMA JISAFISHENI KUMDAI FIDIA BASHITE
MAMBO YA KUSEMA NAMUACHIA MUUNGU HAYAPO KWENYE HAKI ZAKO
Well said mkuu.
JF Kwenu,

Baada ya kupimwa mkojo, mfanyabiashara Yusuph Manji alibainika kutumia dawa aina ya Benzodiazepine, mchanganyiko wa Benzine na Diazepine(Benzine ring fusion with Dazepine)

Kitabibu, hii ni dawa inayotibu matatizo mbalimbali ambayo yanahusiana na afya ya akili. Dawa hii haitolewi bila idhini ya daktari na hivyo iko kwenye utaratibu wa prescription only medication. Inaweza kuwa na madhara yasiyotarajiwa(side effects) hivyo inahitaji uangalifu.

Dawa hii hutumia jina la biashara(brand name) la Activan. Jina lingine ni Lorazepam. Inatibu hofu isiyo bayana(anxiety disorder),kutopata usingizi(trouble sleeping),kifafa ambacho hakijakomaa(status epilepticus),watu wanaoacha ulevi(alcohol withdrawal),kupata hofu kwa vitu fulani tu(specific phobia),kutaharuki mapema na kwa urahisi(panic disorder),kuwa na aibu maeneo fulani au katika hadhira fulani(selective mutism).
Anxiety is a worry about future events-hofu kwa mambo yajayo, fear is worry about current events, hofu kwa mambo ya sasa.

Orodha ya matatizo yanayotibiwa na "dawa za kulevya za Manji" ni ndefu,nimejaribu kutaja kwa uchache na kutafsiri matatizo hayo ingawa inawezekana nisiwe sahihi kwa asilimia 100.

Pengine kinachowindwa na mateja katika Lorazepam ni matokeo/madhara ya muda mfupi ya dawa ambayo ni kulewa(sedation/sleepiness) na dizziness (kizunguzungu).

Sijui kama Yusuph Manji aliandikiwa dawa hizo au aliamua kujipa uraibu kwa bei rahisi. Kama aliandikiwa na daktari wake, inabidi daktari huyo afike mahakamani kutoa ushahidi.
Benzodiazepine sio "unga".

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa ya habari I TV, leo wamesema mkemia mkuu amekuta traces za morphine, hii ina maana gani. ?
 
Benzodiezepines zinaendana na matumizi ya morphine....halafu huwezi kutumia benzodiezipines bila kuandikiwa na daktari....

Hakuna chaka la kihalifu litakaloachwa ...yote lazima yachomwe.

Najua kwa nini chadema inatetea wala ngada...NI SIRI YANGU
 
Back
Top Bottom