Dawa za kienyeji/mbadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za kienyeji/mbadala

Discussion in 'JF Doctor' started by RealTz77, Jul 23, 2010.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Salaam ndugu zangu,
  Nimekuwa kwa muda nikihudhuria clinic moja mitaa ya Sinza kwa remy kwa ugonjwa wa kuwashwa ngozi, sasa kila nikienda napewa dawa tofauti kama aina saba hivi, but ukiangalia, ukinywa zina same test, halafu kama maji, tafadhali mwenye uelewa na hili please nisaidie ni dawa zile au tunapewa imani na kupona kimtindo? Pia zipo expensive sana na ni kwamba watu wengi wanaenda ndo ikanipa imani nami niende pale!
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,033
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ni bora ukafanye allergy test kuliko kunywa madawa.
   
 3. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nishafanya test zote na sina allergy mkubwa! ni mwaka mmoja sasa!
   
 4. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280

  Mkuu nimeipenda signature yako. Very interested!!!
   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,033
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280

  Mi mwenyewe nilikua ninatatizo hilo nilipimwa niliambiwa nina allergy ya kitimoto, maziwa na manyoya ya paka.

  Nikaacha kuvitumia, lakini niliendelea kuwashwa. Nikaja kugundua mwenyewe kuwa nina allergy ya mayai.


  Nadhani allergy yako iko kwe maji unayoogea, aina ya sabuni/mafuta/lotion etc ambavyo ni vigumu wakati mwingine doctor kukuambia mfano usitumie Giv, tumia Revola.
  Jichunguze mwenyewe kwa kuacha kimoja kimoja vitu unavyopendelea kutumia daily.
   
Loading...