Jamani eeh, huyu dada anaomba msaada wenu; amelikoroga!
*****************************************************
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 32. Nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi zaidi ya mara 5 wakisema kwamba nina maumbile mapana!
Nilikutana na rafiki yangu wa kike na alinishauri nitumie asali lakini haikusaidia! Ndipo nikaona bora nitumie dawa za mchina! Matokeo yake sasa 'nyeti' zangu zimekuwa ndogo kuliko kawaida kiasi cha kwamba haziruhusu kitu kingine kuingia!
Njia imeziba na ile sehemu imepoteza kabisa sura yake! Nipo njia panda kwani sasa sina pa kukimbilia! Nimejaribu lakini hairuhusu kitu kuingia ndani. Nyeti zangu zimeharibika jamani!
Naombeni mnisaidie kama kuna namna ya kuzirejesha kama zamani! Dawa za mchina zimeniponza mwenzenu!
This is NOT a joke!Are you serious Pape. Nalazimika kukuuliza coz hako ka avator kako kanaonyesha utani utani sana.
Anyway Kama na hii imetokea The govt should take action. Jamaa wa 10kg simpatii picha. nikiangalia uzito wa ndoo ya 10kg ya mafuta than napiga picha mzigo huo umeninginia katikati ya miguu ya m2 picha haiji kabisaa.
zilikuwa zimelegea! zinapwaya! alikuwa anakimbiwa! nyie si mnataka vitu mnato?
Ngoja ukome, unajifanya Mungu eeeeee, unajaribu kumkosoa katika uumbaji? Na bado kila sehemu zitaziba
This is NOT a joke!
Tatizo la kuwarudia wachina ni kuwa inaweza kuwa na matokeo mabaya zaidi kwani inawezekana ikawa kubwa kuliko ukubwa wa mdomo wa ndoo (20lts).