Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
Jamani eeh, huyu dada anaomba msaada wenu; amelikoroga!
*****************************************************

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 32. Nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi zaidi ya mara 5 wakisema kwamba nina maumbile mapana!
Nilikutana na rafiki yangu wa kike na alinishauri nitumie asali lakini haikusaidia! Ndipo nikaona bora nitumie dawa za mchina! Matokeo yake sasa 'nyeti' zangu zimekuwa ndogo kuliko kawaida kiasi cha kwamba haziruhusu kitu kingine kuingia!
Njia imeziba na ile sehemu imepoteza kabisa sura yake! Nipo njia panda kwani sasa sina pa kukimbilia! Nimejaribu lakini hairuhusu kitu kuingia ndani. Nyeti zangu zimeharibika jamani!
Naombeni mnisaidie kama kuna namna ya kuzirejesha kama zamani! Dawa za mchina zimeniponza mwenzenu!