Dawa za kichina zimeniharibia nyeti zangu za kike!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
Jamani eeh, huyu dada anaomba msaada wenu; amelikoroga!
*****************************************************

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 32. Nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi zaidi ya mara 5 wakisema kwamba nina maumbile mapana!

Nilikutana na rafiki yangu wa kike na alinishauri nitumie asali lakini haikusaidia! Ndipo nikaona bora nitumie dawa za mchina! Matokeo yake sasa 'nyeti' zangu zimekuwa ndogo kuliko kawaida kiasi cha kwamba haziruhusu kitu kingine kuingia!

Njia imeziba na ile sehemu imepoteza kabisa sura yake! Nipo njia panda kwani sasa sina pa kukimbilia! Nimejaribu lakini hairuhusu kitu kuingia ndani. Nyeti zangu zimeharibika jamani!

Naombeni mnisaidie kama kuna namna ya kuzirejesha kama zamani! Dawa za mchina zimeniponza mwenzenu!
 
eeeh mpe pole
jamani wachina, watatuua nnchi hii.
ushauri wangu ni kuwa aende kwa Wachina palepale ili wakampe ushauri ama wamtibie kuruhusu shape ya uke ikae vizuri , maana ikipoteza umbile lake oooh naamini haitamanishi na ndoa itamsumbua.
 
Jamani eeh, huyu dada anaomba msaada wenu; amelikoroga!
*****************************************************

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 32. Nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi zaidi ya mara 5 wakisema kwamba nina maumbile mapana!

Nilikutana na rafiki yangu wa kike na alinishauri nitumie asali lakini haikusaidia! Ndipo nikaona bora nitumie dawa za mchina! Matokeo yake sasa 'nyeti' zangu zimekuwa ndogo kuliko kawaida kiasi cha kwamba haziruhusu kitu kingine kuingia!

Njia imeziba na ile sehemu imepoteza kabisa sura yake! Nipo njia panda kwani sasa sina pa kukimbilia! Nimejaribu lakini hairuhusu kitu kuingia ndani. Nyeti zangu zimeharibika jamani!

Naombeni mnisaidie kama kuna namna ya kuzirejesha kama zamani! Dawa za mchina zimeniponza mwenzenu!

Are you serious Pape. Nalazimika kukuuliza coz hako ka avator kako kanaonyesha utani utani sana.
Anyway Kama na hii imetokea The govt should take action. Jamaa wa 10kg simpatii picha. nikiangalia uzito wa ndoo ya 10kg ya mafuta than napiga picha mzigo huo umeninginia katikati ya miguu ya m2 picha haiji kabisaa.
 
This is NOT a joke!
 
Hivi kabla ya hapo, kwani alikuwa hali kidude>? kama ndiyo kwa nini alishawishika kupunguza maumbile yake kwa dawa tena za kichina?
 
Hivi kabla ya hapo, kwani alikuwa hali kidude>? kama ndiyo kwa nini alishawishika kupunguza maumbile yake kwa dawa tena za kichina?
zilikuwa zimelegea! zinapwaya! alikuwa anakimbiwa! nyie si mnataka vitu mnato?
 
Mmm, hii kali. Pole sana mwenzetu, hawa wachina wanatuharibu sana, wanageuza maumbile yetu jamani.
 
Wachina wachina wanatuharibia dada zetu!!! Kuna operasheni za kuongeza hiyo kitu ipo ktk group la "cosmetic surgery" na hata kurekebisha makalio, kifua nk toka kwa mchina...ajaribishe muhimbili waweza pata huduma ila kwa India nina uhakika matibabu hayo kufanyia. Kujua zaidi google cosmetic surgery na weka area of interest
 
Ngoja ukome, unajifanya Mungu eeeeee, unajaribu kumkosoa katika uumbaji? Na bado kila sehemu zitaziba
 
kwani hiyo makitu huwa ina sura maalumu? mmmmh! eti imepoteza sura yake.
 
sijui nicheke au nilie? hata ushauri wa kukupa sina, labda ujaribu hospital wanaweza kukusaidia
 
Pape nimekuwa mpenzi wa thread zako kwani kila siku ni matatizo/matata/vituko. Tuyaache hayo; sijui hata nimshauri nini huyo dada. Labda maombi, upasuaji au awarudie hao wachina. Tatizo la kuwarudia wachina ni kuwa inaweza kuwa na matokeo mabaya zaidi kwani inawezekana ikawa kubwa kuliko ukubwa wa mdomo wa ndoo (20lts). Plz labda ajaribu upasuaji; Sijuiiiiiiii na kweli sijuiiiiiiiiiii
 
mh!!! sizani kama kila kitu cha mchina kinamatatizo lakini mpe pole mhusika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom