Ohoooo!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atamfinya mtoto saana hiyo siku
Unakutana na HG,kapita madrasa, kalaza kiarabu, ana change TV language, anaweka kiarabu. Na king'amuzi anakitupia kwenye kiarabu.Hahahaaa siku hizi wanajua kingeleza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakutana na HG,kapita madrasa, kalaza kiarabu, ana change TV language, anaweka kiarabu. Na king'amuzi anakitupia kwenye kiarabu.
Siku unayishinda home anaomba ruhusa akasuke, unakuwa bored kiasi gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atamfinya mtoto saana hiyo siku
Kwa wenye hela zao na majumba yaoIpo CCTV mkuu
View attachment 506898
du! mbinu mpya hiyo kaka