Macho yameni chachia, kwa mwenye kujuwa dawa ya asili/ kienyeji anisaidie.

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
10,332
10,947
Nimejitahidi sana kujikinga dhidi ya huu ugonjwa lakini naona imeshindikana na kwasasa nimenasa.
Tangu jana usiku nilipo anza kuhisi dalili za ugonjwa huu na hapa ninapo andika tayari jicho moja tayari limeshindwa kufunguka.

Chonde wataalam / madaktari nisaidieni kupata suruhu ya tatizo hili.
Naomba kwa anaejua dawa anijulishe, nitumie nini ili kujiweka sawa na maisha yaendelee.

Binafsi kwa kuanza leo asubuhi nimeosha uso kwa maji ya kawaida (sikuyachemsha) na sabuni ya magadi.

Tafadhali nisaidieni, maana sio poa.
 
Pole sana kama una asali safi jipake kama wanja katika macho yako asubuhi na usiku kwa siku 3 au siku 5 utapona amradhi yako.
 
Back
Top Bottom