Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Hizi ni hekaya za abunuwasi.

Ila ukiingia field pesa ipo mbele sana.

Hawa righteous women tunawasikia tu lakini hatukutani nao field.
 

Kweli msiojua kutongoza mna kazi! Hiyo yote papuchi
 
Hilo swali majibu yake ni rahisi sana! Kuwa mkweli inatosha!

Binafsi hilo swali siliulizagi, ila kama akiamua kusema mwenyewe aseme tuu!
Ukiwa mkweli unapigwa blue tick, kimya. Hujaweka impression yoyote kwenye kichwa chake.

Hii technique inasaidia kuweka good first impression. And first impression matters.

Kama utairudisha hela yote kwangu au utaniambia nirudishe muamala mwenyewe I might simply do it and stop pursuing you kwasababu haufit the behavioral modal ya mwanamke niliyoizoea so nitapata shida kuanza kukuelewa.
 
Mimi napenda hela ila siku zote niko na hofu na namba mpya. Kanuni yangu sina chumba kwa ajili ya watu wapya waliopotea waendako kupitia simu. Dunia ina mengi sana.
Ila mtu akikuambia namba yako amezawadiwa na Voda kwasababu anatumia huduma zao kwa muda mrefu utamuelewa na kumpa chumba?
 
Kwa hyo nimuachie laki bure tu
 
Sawa Mkuu!
 
Wanaume hawa watume hivyo walivyo bahili na wachoyo hawawezi kukusikiliza labda @kidukulilo ndio anaweza [emoji6][emoji6][emoji6][emoji23]
 
Hizi ni hekaya za abunuwasi.

Ila ukiingia field pesa ipo mbele sana.

Hawa righteous women tunawasikia tu lakini hatukutani nao field.
Naelewa. Hela ni muhimu kwenye mahusiano lakini usiitangulize - isiwe kama ndio nguzo ya mapenzi ndugu. Lakini pia usifanye mahusiano bila kuwa na pesa kwa sababu itakutesa pia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…