Dawa ya Sukari (Diabetes)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Dawa ya Sukari (Diabetes)

Sheikh Saleh Mohammed Tuwaijiri (May Protection of Allah be on him), Qadhi Mkuu wa korti ya Tabuk kafanya uchunguzi mkubwa kwa kuvumilivu na kwa subira kubwa mpaka kupata hii dawa ya magonjwa ya sukari.
Siku hizi watu wengi khususan watu wazima, wanaume na wanawake wanataabika sana kwajili ya ugonjwa wa sukari.

Ingredients:

1 – Unga wa ngano 100 gm
2 – Gundi (umefanan na ubani wa kiarabu lakini hauna harufu) 100 gm
3 - Shaair 100 gm
4 - Habba Soda 100 gm

Namna ya kutengeneza

Chemsha hivyo vitu juu katika vikombe 5 vya maji kwa muda wa dakika 10. Zima moto na wacha ipowe. Ikisha kupowa chuja na utie katika chupa.

Utumizi

Kunywa kikombe kidogo kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 7.Wiki ya pili kunywa siku moja na uwache siku moja. Insha-Allah baad hizi wiki mbili utapona na utaweza kula chakula kama dasturi.Sheikh anaomba muwapelekee wenzune wapate na wao kunufaika.Insha Allah Allah atajaalia iwe dawa kwa kila mwenye haya maradhi. Aameen.Kwa hisani zenu musiwasahau kwenye dua zenu Sheikh, alieye tarjum kwa Kiswahili na kila anaye ipeleka mbele.
 
Dawa ya Sukari (Diabetes)

Ingredients:

1 – Unga wa ngano 100 gm
2 – Gundi (umefanan na ubani wa kiarabu lakini hauna harufu) 100 gm
3 - Shaair 100 gm
4 - Habba Soda 100 gm

.

Nashukushukuru sana mk sasa naomba unieleweshe vizuri vifaa unaposema
gundi ni nini?
Shaair,
Habba Soda!
Mimi ni mgeni sana na vitu hivi na je vinapatikana kiurahisi? ntashukuru hataukinielekeza vinakopatikana!
 
tunashukuru, ila mkuu kama unaweza kutupa maelezo kitaalamu jinsi hizo ingredients zinavyofanya kazi kuweza kutibu diabetes, I mean mechanism yake, naomba tafadhali uiweke ili wengine pia tupate changamoto ya hiyo dawa, kama hakuna au mtaalamu hakuitoa hamna neno mkuu wangu, shukrani nyingi ziende kwa Dr wetu mgunduzi.
 
Dawa ya Sukari (Diabetes)

Sheikh Saleh Mohammed Tuwaijiri (May Protection of Allah be on him), Qadhi Mkuu wa korti ya Tabuk kafanya uchunguzi mkubwa kwa kuvumilivu na kwa subira kubwa mpaka kupata hii dawa ya magonjwa ya sukari.
Siku hizi watu wengi khususan watu wazima, wanaume na wanawake wanataabika sana kwajili ya ugonjwa wa sukari.

Ingredients:

1 – Unga wa ngano 100 gm
2 – Gundi (umefanan na ubani wa kiarabu lakini hauna harufu) 100 gm
3 - Shaair 100 gm
4 - Habba Soda 100 gm

Namna ya kutengeneza

Chemsha hivyo vitu juu katika vikombe 5 vya maji kwa muda wa dakika 10. Zima moto na wacha ipowe. Ikisha kupowa chuja na utie katika chupa.

Utumizi

Kunywa kikombe kidogo kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 7.Wiki ya pili kunywa siku moja na uwache siku moja. Insha-Allah baad hizi wiki mbili utapona na utaweza kula chakula kama dasturi.Sheikh anaomba muwapelekee wenzune wapate na wao kunufaika.Insha Allah Allah atajaalia iwe dawa kwa kila mwenye haya maradhi. Aameen.Kwa hisani zenu musiwasahau kwenye dua zenu Sheikh, alieye tarjum kwa Kiswahili na kila anaye ipeleka mbele.
Samahani mkuu unaweza ukatoa reference? Je huyo mgunduzi alifanya utafiti kwa watu wangapi na kwa muda ghani? na je ni asilimia ngapi ya watu walioonyesha kusaidika(waliopona) kwa kutumia dawa hiyo?
Mwisho huyo mgunduzi ni medical proffesional au ni mganga wa kienyeji?
Thanks!
 
Unachotaka kupata hii ( reference) ya nini? shida yako upone au unataka upate na ushahidi ni akina nani ndio waliotumia hiyo dawa Mkuu?kitu muhimu ni utumie dawa upone na dawa ukitaka kupata uende kwenye Maduka ya wanayouza Dawa za kiarabu nenda kwenye mitaa ya pemba au nenda kwa wauza Dawa za kienyeji watakupa hizo Dawa mimi mwenyewe ndie Mtaalamu wa hizo Dawa kama jina lnagu linavyojieleza hapo juu nina uzoefu wa hizi dawa sas yapata miaka30 iliyopita ukiwa na hayo aMaradhi jaribu kutumia hiyo dawa itakusaidia ukiweza tumia hukuweza usitumie
 
Nashukushukuru sana mk sasa naomba unieleweshe vizuri vifaa unaposema
gundi ni nini?
Shaair,
Habba Soda!
Mimi ni mgeni sana na vitu hivi na je vinapatikana kiurahisi? ntashukuru hataukinielekeza vinakopatikana!

gundi ni Mfano wake kama kitu cha rangi ya (kahawa) ni jamii gundi kama linalotoka kwenye Miti Waganga wa kienyeji wanafahamu .

shaair hili neno la kiarabu kwa kiswahili inaitwa
shayiri Au kwa lugha ya kiingereza inaitwa (barley) ni ngano haijapondwa kuwa Unga inapatikana katika maduka ya Dawa za Kiarabu nenda kaulize kule.

na hiyo Habba Soda kwa kiingereza inatwa ( black cummin) Au jina lingine inaitwa hili Nigella Sativa inatibu maradhi mengi sana dawa hii. ninafikiri Mkuu mpaka hapo umenipata Ushahidi ni huu hapa chini picha zake na maelezo yake hiyo Habba Soda bonyeza hapa [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Nigella_sativa[/ame][ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Black_cumin[/ame]

barley bonyeza hapa [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Barley[/ame]

Na Gundi angalia picha yake ipo chini hapo asante.
 
Attachments

  • Barley.jpg
    Barley.jpg
    3.5 KB · Views: 88
  • Barley 1.jpg
    Barley 1.jpg
    4.7 KB · Views: 97
  • Black cummin.jpg
    Black cummin.jpg
    2 KB · Views: 257
  • Gundi hii.jpg
    Gundi hii.jpg
    36.4 KB · Views: 105
Samahani mkuu unaweza ukatoa reference? Je huyo mgunduzi alifanya utafiti kwa watu wangapi na kwa muda ghani? na je ni asilimia ngapi ya watu walioonyesha kusaidika(waliopona) kwa kutumia dawa hiyo?
Mwisho huyo mgunduzi ni medical proffesional au ni mganga wa kienyeji?
Thanks!

Hehe, hapo umempa mtihani mzito sana mkuu!

Diabetes dawa zake si zinajulikana jamani? Au kubadilisha lifestyle ni ngumu kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom