Dawa ya shilingi 500

Kiwi

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
1,054
990
Wandugu,

Hii taarifa nimeisikia lakini sina hakika kama ilishawekwa humu jamvini. Leo nimeiona kwenye Michuzi. Wenye habari tafadhali tuhabarisheni zaidi. Hii dawa inafanya kazi kweli? Kama haifanyi kazi mbona watu wanafurika namna hii? Picha zinaonyesha msururu wa magari na watu waendao kwa miguu kuifuata dawa hii. Ninaomba mwenye taarifa zaidi atupatie nasi tuwe na mwanga kabla ya kuanza kufungasha kuelekea huko.

Natanguliza shukrani.

MICHUZI: matibabu ya jero yajaza maelfu ya watu monduli
 
hii imeshazungumziwa humu ndani sana...jaribu kupitia jukwaa la habari mchanganyiko utazikuta nyingi tuu
 
Back
Top Bottom