Mantuntunu
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 137
- 16
Yaani hapa malalamiko yooote ya Watanzania chanzo ni hawa watu wawili, Utasema oooh ZK kapewa hela kuihujumu Chadema, Tanesco kuilipa Dowans Mabilioni, Richmond na mitambo yake mibovu, na mengine mengi haya chanzo ni hao watu wawili. Dawa yao ni Shaba tu! wakishaondoka hao basi mambo yatakuwa shwari manake hao ndio source ya matatizo yote ya watanzania. Yaani huyu El ndo anasikitisha kabisa yaani pamoja na Uzawa wake hawaonei huruma watanzania wanavyohangaika na maisha??? UNASIKITISHA SANA EL. Huyo mwingine tunaweza tukamwelewa kidogo kwani I dont think if he gives a damn about Tanzanian people! ("if you know what I mean")
Ni naona Shaba ni kifo cha kichujaa sana mimi napendekeza wachinjwe kama kuku...Yaani hapa malalamiko yooote ya Watanzania chanzo ni hawa watu wawili, Utasema oooh ZK kapewa hela kuihujumu Chadema, Tanesco kuilipa Dowans Mabilioni, Richmond na mitambo yake mibovu, na mengine mengi haya chanzo ni hao watu wawili. Dawa yao ni Shaba tu! wakishaondoka hao basi mambo yatakuwa shwari manake hao ndio source ya matatizo yote ya watanzania. Yaani huyu El ndo anasikitisha kabisa yaani pamoja na Uzawa wake hawaonei huruma watanzania wanavyohangaika na maisha??? UNASIKITISHA SANA EL. Huyo mwingine tunaweza tukamwelewa kidogo kwani I dont think if he gives a damn about Tanzanian people! ("if you know what I mean")
kuwaroga tuu
u said it all..they will ensure no one holds them responsible as they own all legal organs..however the duo aren't the sole source of our problems..there r so many things these r just fewStrong opposition may hold them responsible, jambo ambalo wameshalitambua na wanalifanyia kazi kwa kuhakikisha kuwa wanaweka watu wao ndani ya vyama ili kuziba midomo na kuleta vurugu kama ambavyo tunashuhudia ndani ya CHADEMA wakati huu.
Yaani hapa malalamiko yooote ya Watanzania chanzo ni hawa watu wawili, Utasema oooh ZK kapewa hela kuihujumu Chadema, Tanesco kuilipa Dowans Mabilioni, Richmond na mitambo yake mibovu, na mengine mengi haya chanzo ni hao watu wawili. Dawa yao ni Shaba tu! wakishaondoka hao basi mambo yatakuwa shwari manake hao ndio source ya matatizo yote ya watanzania. Yaani huyu El ndo anasikitisha kabisa yaani pamoja na Uzawa wake hawaonei huruma watanzania wanavyohangaika na maisha??? UNASIKITISHA SANA EL. Huyo mwingine tunaweza tukamwelewa kidogo kwani I dont think if he gives a damn about Tanzanian people! ("if you know what I mean")
Huu mbona ni utani wa mwaka - yaani unataka kusema kuwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
Yaani Mantuntunu, unataka tuamini kuwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kuwashughulikia hao watu wawili ! Hivi Watanzania tuna akili ? Jamani, eti Raisi hajui Kagoda ni nani, hajui Dowans ni nani, hajui kwa nini Tanzania ni masikini, hajui, hajui hajui...lakini azidi kupeta, only in Tanzania ! Well kwangu,the buck stops with the President, period.
- Raisi wa taifa lililo huru
- Mkuu wa dola na serikali
- Jemadari Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama
- Mwenyekiti wa chama tawala - CCM
- Mwenye uwezo wa kutangaza hali ya hatari
- Anayetekeleza majukumu yake akilindwa na katiba
- Aliyeapa kuwa atailinda na kuitetea hiyo katiba
- Asiyeweza kushtakiwa kwa kutekeleza hayo majukumu kikatiba
- Asiyeweza kuondolewa madarakani hadi theluthi mbili ya wabunge wakose imani naye