Dawa ya Rost and EL hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya Rost and EL hii hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mantuntunu, Dec 15, 2010.

 1. M

  Mantuntunu Senior Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yaani hapa malalamiko yooote ya Watanzania chanzo ni hawa watu wawili, Utasema oooh ZK kapewa hela kuihujumu Chadema, Tanesco kuilipa Dowans Mabilioni, Richmond na mitambo yake mibovu, na mengine mengi haya chanzo ni hao watu wawili. Dawa yao ni Shaba tu! wakishaondoka hao basi mambo yatakuwa shwari manake hao ndio source ya matatizo yote ya watanzania. Yaani huyu El ndo anasikitisha kabisa yaani pamoja na Uzawa wake hawaonei huruma watanzania wanavyohangaika na maisha??? UNASIKITISHA SANA EL. Huyo mwingine tunaweza tukamwelewa kidogo kwani I dont think if he gives a damn about Tanzanian people! ("if you know what I mean")
   
 2. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,721
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  shaba siyo suruhisho watakosa msamaha hata kwa Mungu, bali ni kuwaombea wabadirike, zile ela zote wawape watoto yatima, wasaidie ujezi wa shule , ukiwalisha shaba mali yao itafia ulaya, ila wasipobadilika tuwaombee arubadili wawe viziwi an vipofu mpaka kufa kwao
   
 3. m

  mchakachuaji1 Senior Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja, na kama nitawezeshwa (sio kifedha) nipo tayari kutekeleza azma hii na kuacha legacy kwa vizazi vijavyo.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mh!
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ni naona Shaba ni kifo cha kichujaa sana mimi napendekeza wachinjwe kama kuku...
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Dawa ni kuwachakachua akili hawa watu 2, waropoke siri zao zooote na warudishe kila sent kwa riba kubwa. Ila tukumbuke wapo wengi coz pekeyao hawawezi kufanya yote hayo.
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kwa mtu yeyote aliyesoma kitabu cha "the day of the jackal"? Kile kinachohusu upangaji wa mauaji ya Mtawala wa Ufaransa wa Miaka ile aliye itwa Charles de Gaulle
  Tatizo hapa ni uthubutu wa mtu au watu kutekeleza hicho kitu. Nani amlambe shaba EL au RA?

  Njia pekee ya kuwanyamazisha na kuwaadabisha watu hao ni kudai Katiba mpya (na kupelekea kupatikana kwa tume huru ya uchaguzi) ambayo kupatikana kwake itaondoa ukiritimba wa chama cha mapinduzi. CCM iking'oka, RA na EL hawataweza kuongoza nchi kwa remote control yao.
   
 8. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,721
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  mbona hamchangii, hawa watu jamani tuwafanyeje, Umeme wao, majengo Tata wao Madini wao Vodacom wao, EPA wao Mistu ndio usiseme Mzee EL anamiliki hata vibaaa pale peace mwananyamala jamaa hatosheki uwa akija hata kupiga ka raundi hakuna
   
 9. E

  Epifania Senior Member

  #9
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Strong opposition may hold them responsible, jambo ambalo wameshalitambua na wanalifanyia kazi kwa kuhakikisha kuwa wanaweka watu wao ndani ya vyama ili kuziba midomo na kuleta vurugu kama ambavyo tunashuhudia ndani ya CHADEMA wakati huu.
   
 10. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,861
  Likes Received: 2,786
  Trophy Points: 280
  Wako wapi wale mabingwa wa kujitoa muhanga? Wanabaki kujitoa muhanga tu kwenye mikusanyiko ya akina mama na watoto wanashindwa kuja kujitoa muhanga kwa akina EL na RA? Hata kwa Mkwere pia anaudhi huyo naye!!! Sijui naye yumo kwenye hizo mali zote hizo?
   
 11. R

  Reyes Senior Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwaroga tuu
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,639
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Tafuta telescopic rifle mkuu
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huwawezi wanakinga ya mnajim sheikh Yahya!!
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mnajua hawa wana HISA WIKLEAKS?

  DAWA NI MOTO
   
 15. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  u said it all..they will ensure no one holds them responsible as they own all legal organs..however the duo aren't the sole source of our problems..there r so many things these r just few
   
 16. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Huu mbona ni utani wa mwaka - yaani unataka kusema kuwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete

  • Raisi wa taifa lililo huru
  • Mkuu wa dola na serikali
  • Jemadari Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama
  • Mwenyekiti wa chama tawala - CCM
  • Mwenye uwezo wa kutangaza hali ya hatari
  • Anayetekeleza majukumu yake akilindwa na katiba
  • Aliyeapa kuwa atailinda na kuitetea hiyo katiba
  • Asiyeweza kushtakiwa kwa kutekeleza hayo majukumu kikatiba
  • Asiyeweza kuondolewa madarakani hadi theluthi mbili ya wabunge wakose imani naye
  Yaani Mantuntunu, unataka tuamini kuwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kuwashughulikia hao watu wawili ! Hivi Watanzania tuna akili ? Jamani, eti Raisi hajui Kagoda ni nani, hajui Dowans ni nani, hajui kwa nini Tanzania ni masikini, hajui, hajui hajui...lakini azidi kupeta, only in Tanzania ! Well kwangu,the buck stops with the President, period.
   
 17. P

  Proud Patriot JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  soma my signature, wrote that days ago and now this thread! good sign
   
 18. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  duh! kweli watu wamechoka!
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2015
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huwa nashindwa kuelewa watanzania wana fikra zipi hapa duniani.
  Inawezekana ni kweli binadamu wa kwanza alikuwa mtanzania.watanzania ni watu wenye utofauti mkubwa sana na binadamu wengine.
   
Loading...