Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,564
Nimechoma moto barua pepe?Nakuona una shamili tu nime kutumia barua pepe haijajibiwa mpaka leo nahisi ilisha chomwa moto poa tu 😂😂 tutakutana
Tukutane wapi muda huu maana vijana mnatudharau sana,nimetoka shamba kulima hivyo mwili uko kamili gado,utaweza kupimana nguvu? Au utakimbilia kusema kwa mama?