Dawa ya mwanamke anayekunyima unyumba

Dawa ya mwanamke anayekunyima unyumba

Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba

Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu

Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini

Mbaya zaidi kaninyima unyumba mara 2 na zote nilimtimua chumbani akalale sebuleni

Nimfanyaje huyu mtu ili aache hii tabia ya kuninyima unyumba??
Mpandishe cheo...
 
timua huyo utalazimishaje kupendwa wakati hakupendi?.kiufupi haupendwi? demu hana hisia na wewe bora umtimue ufuge hata kuku baadae utapata nyama napesa kuliko kufuga malaya kwako.kilichofanya uoe ni hiyo kitu afu unanyimwa hiyo kitu kwani zaidi ya hiyo kitu mwanamke ananini cha maana? we mwambie nenda kapumuzike kwenu hapa hujaja kukua na kula sembe ya bule.hapa umekuja kufinywa na kunizalia watoto...ila inaonekana we ni dhaifu mno mkuu.
 
Tafuta demu hasa marafiki zake piga na ajue kabisa lakini uwe tayar kuacha kuanxia mdani ya moyo sio badaye uanze kulia akianza kufapita na washkaji zako
 
Back
Top Bottom