Dawa ya mwanamke anayekunyima unyumba

Dawa ya mwanamke anayekunyima unyumba

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,708
Reaction score
8,746
Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba

Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu

Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini

Mbaya zaidi kaninyima unyumba mara 2 na zote nilimtimua chumbani akalale sebuleni

Nimfanyaje huyu mtu ili aache hii tabia ya kuninyima unyumba??
 
😂😂😂😂pole sana huyo aende kwao tuu
 
Dawa yake ni kumpiga chini utafute mwanamke mwingine mkuu. Huyo tayari umeishanyanganywa na mapedejee ya mjini.
 
Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba

Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu

Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini

Mbaya zaidi kaninyima unyumba mara 2 na zote nilimtimua chumbani akalale sebuleni

Nimfanyaje huyu mtu ili aache hii tabia ya kuninyima unyumba??
Labda humkojozi :uwotWater: ndiyo maana hataki 🤷🏽‍♀️

Kula kula vikaranga uongeze nguvu hizo.
 
Maana ya mwanamke kukunyima mkiwa kwenye ndoa ni kwamba hisia juu yako hazipo,zimekata.Hisia zimehamia kwa huyo anayechati naye.Kuna uwezekano mkubwa huyo jamaa ameshamla.Chunguza ,chukua hatua.
 
Kweli
Hiyo sio kawaida
 
Back
Top Bottom