igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 956
- 1,501
89% ya wanaotoa ushauri humu hawajawahi kuishi na mwanamke.
Kwakweli this ndoa thing is becoming more difficult as the days pass by!Ila ndoa bwana
Mkuu, haya yote Dr Mwaka alikuwa anayafundisha kwenye television na maredio, na mitandao ya kijamii lakini bado nanga ilipaa. Mandela aliweza kuishi jela miaka 27 lakini alishindwa kuishi na yule bi mkubwa. Ukisoma mtandao wa Pew research centre nchini marekani watu wanaoishi bila ndoa wanaongezeka kwa kasi ya Aston Martin kuliko wenye ndoa hapo hujasoma taarifa za Rita kuhusu ndoa zilizovunjika ndani ya miaka mitatu iliyopita hapa kwa kwenye nchi ya chief hangaya. Unaweza kuwa na elimu ya kumuhudumia mwanamke kama masanja lakini bado wahuni sio watu wazuri. Kuna mtu mmoja alisema "kadiri unavyomsogelea mwanamke ndivyo anavyozidi kwenda mbali" mwingine alisema " hata wanawake wenyewe hawajui wanataka nini" mimi nasema tafuta hela yako kaa kwa kutulia kula vizuri, vaa vizuri, endesha gari zuri. Mwanamke akija oa lakini mkishindwana basi nendeni kwa amani.Mleta mada hivi unajua wanawake wana moods kutokana na mabadiliko ya hormones mara kwa mara?
Hormones zikiwa balanced mwanamke anakuwa normal, energetic, sober, loving, caring lakini hormone zisipokuwa balanced anakuwa na kisirani, mahasira, lugha chafu etc.
Ngoja nikupe akili sasa za kudeal.na mwanamke
1. Mpe tendo vizuri mpaka aridhike, mwanamke akiridhika hufanya hormone za upendo mwilini mwake ziitwazo oxytocin hormone kujaa. Hapa mwananke si tu kwamba atakupenda bali atakuheshimu
2. Kuwa kiongozi ndani ya nyumba, na kiongozi wa kweli hashindani na wa chini yake bali anaonyesha maturity, toa miongozo mizuri, mwanamke akiona uongozi ndani yako atakuheshimu. Acha kujali maneno maneno ya mwanamke, hao viumbe lazima waseme, ndivyo walivyoumbwa.
2. Provide for the family, lipia watoto ada, acha hela ya chakula nyumbani, mpe mke wako nauli ya kazini na lunch hata kama na yeye ana kazi, endelea kumnunulia nguo, chupi, na mahitaji mengine hata kama naye ana hela zak
Umejaribu kuandika notes za theory. Practically ni tofauti mno
Maelezo ya mwisho yazingatiweBaada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3
Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili mpaka miaka miwili ya ndoa yako baada ya hapo ni vita juu ya vita kila mmoja anataka kutawala mwenzake
Na hapa ndipo unatakiwa kuonyesha udume wako sasa kuwa wewe ni mwanaume unatakiwa uheshimiwe
Na njia ya kuonyesha udume wako onyesha kuwa uko tayari kumuacha
Kununa , kufoka hakuwezi kumtuliza mwanamke jeuri
Kumchukulia mke wa pili hakuwezi kumtuliza mwanamke akianza jeuri yake kuna uwezekano yeye akakuletea mtoto ambaye sio wako katika ndoa
DAWA YA MWANAMKE AKIANZA JEURI
Muonyesha kuwa uko tayari kuachana naye Any time tu basi ndo dawa iyo muache aende ili akapate atakaye muheshimia kuliko wewe