Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
47
Reaction score
209
Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3

Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili mpaka miaka miwili ya ndoa yako baada ya hapo ni vita juu ya vita kila mmoja anataka kutawala mwenzake

Na hapa ndipo unatakiwa kuonyesha udume wako sasa kuwa wewe ni mwanaume unatakiwa uheshimiwe
Na njia ya kuonyesha udume wako onyesha kuwa uko tayari kumuacha

Kununa , kufoka hakuwezi kumtuliza mwanamke jeuri

Kumchukulia mke wa pili hakuwezi kumtuliza mwanamke akianza jeuri yake kuna uwezekano yeye akakuletea mtoto ambaye sio wako katika ndoa

DAWA YA MWANAMKE AKIANZA JEURI
Muonyesha kuwa uko tayari kuachana naye Any time tu basi ndo dawa iyo muache aende ili akapate atakaye muheshimia kuliko wewe
 
Eti akianza jeuri muoneshe uko tayari kuachana nae! Unaigiza au?
Kwani huwa mnashindwa kuachana mpaka muanze kuigiza?
We mtu mmeshindwana achaneni oa mwingine.
Mnajipaga stress za bure tu.
 
Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3

Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili mpaka miaka miwili ya ndoa yako baada ya hapo ni vita juu ya vita kila mmoja anataka kutawala mwenzake

Na hapa ndipo unatakiwa kuonyesha udume wako sasa kuwa wewe ni mwanaume unatakiwa uheshimiwe
Na njia ya kuonyesha udume wako onyesha kuwa uko tayari kumuacha

Kununa , kufoka hakuwezi kumtuliza mwanamke jeuri

Kumchukulia mke wa pili hakuwezi kumtuliza mwanamke akianza jeuri yake kuna uwezekano yeye akakuletea mtoto ambaye sio wako katika ndoa

DAWA YA MWANAMKE AKIANZA JEURI
Muonyesha kuwa uko tayari kuachana naye Any time tu basi ndo dawa iyo muache aende ili akapate atakaye muheshimia kuliko wewe
Solution yako ndio hiyo hiyo inaitwa msimamo, muonyeshe you dont like it and she can go anytime

Wazee wetu waliweza sana haya mambo
 
Mleta mada hivi unajua wanawake wana moods kutokana na mabadiliko ya hormones mara kwa mara?

Hormones zikiwa balanced mwanamke anakuwa normal, energetic, sober, loving, caring lakini hormone zisipokuwa balanced anakuwa na kisirani, mahasira, lugha chafu etc.

Ngoja nikupe akili sasa za kudeal.na mwanamke
1. Mpe tendo vizuri mpaka aridhike, mwanamke akiridhika hufanya hormone za upendo mwilini mwake ziitwazo oxytocin hormone kujaa. Hapa mwananke si tu kwamba atakupenda bali atakuheshimu

2. Kuwa kiongozi ndani ya nyumba, na kiongozi wa kweli hashindani na wa chini yake bali anaonyesha maturity, toa miongozo mizuri, mwanamke akiona uongozi ndani yako atakuheshimu. Acha kujali maneno maneno ya mwanamke, hao viumbe lazima waseme, ndivyo walivyoumbwa.

2. Provide for the family, lipia watoto ada, acha hela ya chakula nyumbani, mpe mke wako nauli ya kazini na lunch hata kama na yeye ana kazi, endelea kumnunulia nguo, chupi, na mahitaji mengine hata kama naye ana hela zak
 
Humo ndipo mnapojifichia..apewe nauli na hela ya lunch hata kama ana kazi ili pesa zake ye akahonge sio?
 
Mleta mada hivi unajua wanawake wana moods kutokana na mabadiliko ya hormones mara kwa mara?

Hormones zikiwa balanced mwanamke anakuwa normal, energetic, sober, loving, caring lakini hormone zisipokuwa balanced anakuwa na kisirani, mahasira, lugha chafu etc.

Ngoja nikupe akili sasa za kudeal.na mwanamke
1. Mpe tendo vizuri mpaka aridhike, mwanamke akiridhika hufanya hormone za upendo mwilini mwake ziitwazo oxytocin hormone kujaa. Hapa mwananke si tu kwamba atakupenda bali atakuheshimu

2. Kuwa kiongozi ndani ya nyumba, na kiongozi wa kweli hashindani na wa chini yake bali anaonyesha maturity, toa miongozo mizuri, mwanamke akiona uongozi ndani yako atakuheshimu. Acha kujali maneno maneno ya mwanamke, hao viumbe lazima waseme, ndivyo walivyoumbwa.

2. Provide for the family, lipia watoto ada, acha hela ya chakula nyumbani, mpe mke wako nauli ya kazini na lunch hata kama na yeye ana kazi, endelea kumnunulia nguo, chupi, na mahitaji mengine hata kama naye ana hela zak
Umejaribu kuandika notes za theory. Practically ni tofauti mno
 
Comment nzuri...

Hujajua kiumbe anaitwa Mwanamke, haya makongamano yanawaharibu!
 
Back
Top Bottom