Dawa ya moto , MOTO !

Dawa ya moto , MOTO !

umenichekeshaje hapa bestito!

Mimi nitaendelea kuamini dawa ya moto ni fridge (baridi)
 
Pale ndo inatakiwa ke akija moto na me awe moto.... mbona ndo raha yake....!

Skiza Chairman , kwa karentily woldi habari ya kusuguana hadi mmeuma midomo ya chini , haina mpango!
Coz posibilite ya kupasua ndomu ita'aplai !
Inkes mmojawapo ana vi'Russia ?
 
Nambie mzee Washawasha as known as "nite mover" or "zee la usiku munene"
habari ndy hizo!
Afu babaake undavaundava punguza sasa! Huoni age zetu kukicha zinasongesha!
Ni kweli kabisa kiongozi Judgement,tunazidi kuchoka,si unajua wazinifu huonekana nyakati za usiku?
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
maajabu kweli kweli mkuu.
Nalog off

Afu mkubwa , kuna wkt flani mshkaji wangu kitaani aliwahi nambia yeye hajishughulishi na mademu.
Nikamuuliza kivipi? Akanijibu
"mademu wa nini, ilhali nikipiga nyeto , biashara ni ileile"
Matokeo yake huyo mshkaji ameoa , but akimaliza kushuka kwa wife anamafini na mgalala !
Sema neno kwa mijitu sampuli hii .
 
Afu mkubwa , kuna wkt flani mshkaji wangu kitaani aliwahi nambia yeye hajishughulishi na mademu.
Nikamuuliza kivipi? Akanijibu
"mademu wa nini, ilhali nikipiga nyeto , biashara ni ileile"
Matokeo yake huyo mshkaji ameoa , but akimaliza kushuka kwa wife anamafini na mgalala !
Sema neno kwa mijitu sampuli hii .
Mijitu ya namna hii IMEFELI vibaya mno.
Nalog off
 
Mkuu Judgement..sasa kwenye moto ukiweka baridi si utazima?
dawa ya moto ni moto!! iko vyema kabisa..

labda utafsiri neno dawa kivingine..na uli apply tofauti pia!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom