Dawa ya mende ni nini?

kuna wale jamaa wanapita wanauza mtaani dawa ipo kwenye pakti ya kijani ukicheki yenyewe ina rangi kama unga wa dona hivi nilimwaga nyumbani kwangu mara moja kilichofuata ni kufagia mizoga ya mende kama wiki hivi yaani ile harufu yake inawavuta kutoka walipo na inaua instantly hadi leo sijaona mende tena
 
Back
Top Bottom