Wewe ni mchafu, kama usafi ni maximum sasa mende atoke wapi? Pulizia dawa nyumba yote hadi chooni na Dari, hutaona mende.Nyumbani KWANGU kila pahala ni mende, zimejaaa kwenye mafriji, kabati, na etc Ila usafi ni maximum,Why? Na nifanyeje?
Mkuu kwanini usimwambie tu hauifahamu,,kwani ingekupunguzia nini katika maisha yako,,Dawa kwani wamekwambia wanaumwa?
....unadhani kajishtukia kwa bahati mbaya alipoandika ila 'usafi' ni maximum!??Mkuu kwanini usimwambie tu hauifahamu,,kwani ingekupunguzia nini katika maisha yako,,
Nenda kanunue Nuvan Miss M4C,utafurahi.Nyumbani KWANGU kila pahala ni mende, zimejaaa kwenye mafriji, kabati, na etc Ila usafi ni maximum,Why? Na nifanyeje?
Ni wapi?Nyumbani KWANGU kila pahala ni mende, zimejaaa kwenye mafriji, kabati, na etc Ila usafi ni maximum,Why? Na nifanyeje?
Biological control hiyo, Getto kwangu kulikuwa na mjusi na hiyu ndio ilikuwa kazi yake, mende wameisha nae kasepa.Dawa ya kudumu kwa mende wale wadogo ni mijusi ile yenye rangi. Hawamalizi mwezi watapungua sana....