Pongezi kwa Jeshi letu la polisi kwa kufanikiwa kudhibiti tukio la kihalifu huko tegeta kwa kuwauwa majambazi 3.
chanzo.
Chanel ten & azamtv.
====
Mwendo huo huo, na sisi wananchi tupo tayari kuwafichua wahalifu wote, majambazi na wauza madawa ya kulevya, aina hii ya watu hatuwataki kabisaa kwenye jamii yetu wanastahiki kuishi chini ya ardhi.
Kwakweli tulipongeze Jeshi letu la Posi Kanda ya Dsm chini ya Kamanda Mriro, maana baada ya kupewa taarifa na wananchi wa eneo hilo kuwa kuna majambazi wanataka kufanya yao......mara paap kikosi kazi maalum cha polisi kikatinga na kisha kusambaratisha majambazi yote ambayo yalikuwa yamejipanga.
Pole kwa majeruhi mmoja upande wa polisi, tunamuombea Mungu apone haraka, hakika huo ndio uzalendo wa kweli kwa Tifa.
Bug up sana.
DSM sio mahala salama tena kwa majambazi.
Lakini pia tunaliomba Jeshi letu la Polisi wanapo wakamata majambaZion au wanapo uliwa picha zao ziwe zinawekwa hadharani ili iwe fundisho wa majambazi wengine tulio nao mitaani.
Ujmbazi haulipi.