Dawa ya Majambazi ni moto tu

Dawa ya Majambazi ni moto tu

sasa twendeni pamoja naamini watu wema tupo wengi zaidi ya Majambazi na wauza madawa ya kulevya hivyo tushirikiane kwa pamoja tuwafichue, tutoe taarifa za siri ili washughulikiwe kikamilifu.
 
Ila wezi wanakera! Wakati mwingine tunawaonea tu huruma kwa sababu za kibinadamu.

Ila kiukweli wanarudisha sana watu nyuma kimaendeleo.
 
Kuna Mtoto wa Darasa La 3 ameaanza kuiba Hela Nyumbani. Huyo nae ni Moto au nn?
waswahili wanamsemo usemao kadhaa ya mafunzo na maonyo kama vile;

"mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"

"mchelea mwana hulia mwenyewe"

"asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu"

n.k, n.k

Misemo yote lengo lake ni kuonya na kufunza.

Majambazi wengi pamoja na wezi, vibaka na hata wavuta madawa ni matokeo ya wazazi kushindwa kutimiza wajibu wao wa kuwalea watoto wao kwenye maadili yanayo takiwa.

Endapo kila mzazi atatimizi wajibu wake kikamilifu ktk malezi ya mtoto/watoto wake idadi ya wahalifu ktk jamii itapungua kwa kiwango kikubwa, shime wazazi tutimize majukumu yetu ktk ulezi.
 
Rpc anadai majambazi wamekufa wakiwa njiani wakipelekwa hospital wakati tv zinaonesha maiti zimelala eneo la tukio, hii nchi kila mtu kawa muongo muongo kama majaliwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rpc anadai majambazi wamekufa wakiwa njiani wakipelekwa hospital wakati tv zinaonesha maiti zimelala eneo la tukio, hii nchi kila mtu kawa muongo muongo kama majaliwa
iwe walikufa papo hapo au njiani au hospitalini, tunacho shukuru sisi wananchi ni afadhali wameuwawa maana majambazi hawafai kuendelea kuishi duniani.

Kama una ndugu au jamaa au kama unanufaika na pato la majambazi bora uwaonye mara moja, maana Jeshi la Polisi haliwezi kuwachekea hawa fisi.
 
Rpc anadai majambazi wamekufa wakiwa njiani wakipelekwa hospital wakati tv zinaonesha maiti zimelala eneo la tukio, hii nchi kila mtu kawa muongo muongo kama majaliwa
Kwa hiyo ulitaka majambazi yafanyweje? Wapetiwe petiwe? Kill them wataisha na itakuwa funzo kwa wenzao
 
Rpc anadai majambazi wamekufa wakiwa njiani wakipelekwa hospital wakati tv zinaonesha maiti zimelala eneo la tukio, hii nchi kila mtu kawa muongo muongo kama majaliwa
Walizimiaa!!
 
Hao ilitakiwa kukatwa korodani zao na kisu butu wangese sana hao watu.
 
wauza madawa ya kulevya, aina hii ya watu hatuwataki kabisaa kwenye jamii yetu wanastahiki kuishi chini ya ardhi.
Kwahiyo sisi Watu wa Codeine mtawaua wenye Maduka ya Dawa muhimu?
 
Tatzo pale ambapo wananchi wanachukua maamuzi kama hayo ya polisi inakuwaga shida sana ila wao wakiua Wala hakuna kuhojiwa
 
Mpuuzi kweli wewe hao walikua wako tayari kukatisha maisha ya mtu yoyote mpk wameuwawa unajua wameua wangapi?
Muwe mnakalisha matako chini km hamna cha kukoment nyambaf.
Swadaktaa atulize kinyolilo huyu mnufaika wa vibaka
 
Back
Top Bottom