Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
- Thread starter
- #21
Mbona rahisi sana? Kama huna unamwambia unamtafutia. Kama unayo unampa tu. Ila kiukweli ndani ya akili yako unakuwa umempangia budget yake kwa mwezi.
uko sawa kabisa
Mbona rahisi sana? Kama huna unamwambia unamtafutia. Kama unayo unampa tu. Ila kiukweli ndani ya akili yako unakuwa umempangia budget yake kwa mwezi.
na kwa heshima yako tunafunga thread, huyu mgonjwa kashapata dawa.
Sasa mwanamke asiyependa pesa unamtaka wa nini? Kwanza utamtoa wapi mwanamke wa aina hiyo? Hujui kuwa kupenda pesa kwa wanawake ndio kunatufanya tuumize vichwa kuchakarika? Kujenga nyumba, kufanya investments zote ni sababu ya challenges kutoka kwa wanawake. Mwanamke mwenye akili anampa mume wake changamoto chanya ya maendeleo. Ukipata mwanamke mwenye kutokupenda pesa wewe andika maumivu. Na ujue wanao watakuja kuwa mazoba wasio na vision ya maisha. Ungesema tamaa za kipuuzi ningekuelewa. Lakini kupenda pesa kwa mwanamke to me is criterion number one. La msingi awe ni go-getter wa kubuni na kusimamia vyanzo halali ki-maadili vya mapato. Hakuna raha kama unapiga deal halafu unarudi kwako unamwaga mpunga msimbazi unamwambia mamaa ahesabu kitandani. Ha ha ha.