Insabhunsa Gusa
Senior Member
- May 13, 2011
- 109
- 88
Wadau,
Nipo Dar, ila nimeamua kununua mahindi mkoani Rukwa kwa minajiri ya kuyatunza na kuuza baadaye wakati wa uhitaji. Maana wakulima wengi huuza mazao yao yote na wakati wa masika huteseka kwa kukosa akiba ya chakula nafaka.
Swali langu ni je ipi dawa sahihi, au njia sahihi ya kuyahifadhi mahindi hayo kwenye magunia ili yawe salama yasishambuliwe na dumuzi na wadudu wengine.
Asante Sana kwa msaada wenu.
Mwekezaji wa nafaka.