Huenda hivyo vitunguu swaumu ni sumu kwao ndivyo viliwafukuza hao mijusi, hakuna uchawi hapoHizo zinaitwa kamera za wachawi kila unachofanya ndani wanaona
Baada ya kuelezewa hivyo na kuambiwa dawa yake nilijaribu dawa niliambiwa kama nikitia hiyo dawa wakiondoka nijue ni wakichawi kweli waliondoka mpaka leo sipendi mijusi
Naishi msela kwa hiyo ndani kwangu walikuwa huru sana
kukaa na kuona wajusi watano wapo maukutani wamerelax ilikuwa ni kawaida sana
Nikiondoka kurudi usiku kwa hivyo walikuwa huru
Dawa niliyotumia niliambiwa nichukue majani ya kisamvu niweke katika pembe za chumba hata mawili mawili kila kona
Alafu nichukue mbegu za kitunguu saumu nizitumie kusugulia sehemu mbalimbali ambapo huwa nawaona
Unatumia zile mbegu kuchorea maeneo wanayokaa
Baada ya kufanya hivyo kesho yake tu sikuona hata mjukuu wao nilishangaa sana
NAKAZIAWengine Wana wahusisha na nguvu za Giza Kama antenna wanarekodi taarifa ndani na kuzituma wa wachawi
Uongo,wakati nasoma Pugu tuliwala sana kwenye maharage na panya na hatukufaNasikia wana sumu hatari, akidondoka kwenye chakula familia nzima mnakufa
Hiyo lava inatoka UgandaYanapatikana wapi?? Afu nayafanyaje??
Duniani hakuna uchawi au SiyoHuenda hivyo vitunguu swaumu ni sumu kwao ndivyo viliwafukuza hao mijusi, hakuna uchawi hapo
Kama wanawika ...basi watakuwa vibwengo. Cha kufanya ni kuuza hiyo nyumbaWanawika usiku.
Dogo una roho mbaya si mchezo aisee๐คฃMijusi uliyoyaamua kuifuga mwenyewe imeanza kukusumbua .Ikifika hatua ya kukupandia kitandani na kukutambalia wakati upo usingizini utujulishe tukupe dawa
Tupe ushahidi watu waliowahi kufa kwa sumu ya mjusi.Nasikia wana sumu hatari, akidondoka kwenye chakula familia nzima mnakufa
NdiyoInauwa mmbu hii dawa pia?
Dah!! Sijui nofanyejeHouse Gecko,
wajusi wa ndani...inategemea na imani yako ila kwa wazungu wa Marekani wanaamini hao wajusi wakiingia ndani kwako basi kuna ugeni utakuja kwako, Baraka au Maongezeko flani
Watu wengine wanaamini ni wanaleta mkosi, hasa watu weusi
fuga paka tu wote wataishaTafadhali anayejua dawa nzuri ya kuua hawa wadudu anisaidie. Wapo wengi juu ya siringbodi. Usiku wanawikaView attachment 2682087
Nenda wasafiYanapatikana wapi?? Afu nayafanyaje??
Noted [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] mkuu
Chai za kwenye kahawaNasikia wana sumu hatari, akidondoka kwenye chakula familia nzima mnakufa
Jaribu sumu ya panyaTafadhali anayejua dawa nzuri ya kuua hawa wadudu anisaidie. Wapo wengi juu ya siringbodi. Usiku wanawikaView attachment 2682087