kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 2,322
- 3,604
Mijusi wengi wa Aina hiyo wakukaa Majumbani sio Mijusi kama tunayoifahamu!Hebu fafanua mkuu
Ndo maana kuna baadhi ya Nyumba huwezi kuiona, ila kuna baadhi ya Nyumba hawakosekani!
Mijusi wengi wa Aina hiyo wakukaa Majumbani sio Mijusi kama tunayoifahamu!Hebu fafanua mkuu
WAnakula wadudu kama nzi, bubui, n.k. Kwa hiyo ukiwaondoa, jiandae kwa usumbufu wa kilichokuwa chakula chaoTafadhali anayejua dawa nzuri ya kuua hawa wadudu anisaidie. Wapo wengi juu ya siringbodi. Usiku wanawikaView attachment 2682087
Yaani Evilspirit alizoziweka mwenyewe...zinaanza kumsumbua unamaanisha[emoji23]Mijusi uliyoyaamua kuifuga mwenyewe imeanza kukusumbua .Ikifika hatua ya kukupandia kitandani na kukutambalia wakati upo usingizini utujulishe tukupe dawa
Chukua dettol ichanganye na maji then spray kwenye mahali walipo.Tafadhali anayejua dawa nzuri ya kuua hawa wadudu anisaidie. Wapo wengi juu ya siringbodi. Usiku wanawikaView attachment 2682087
ThanksChukua dettol ichanganye na maji then spray kwenye mahali walipo.
Usisahau kuleta mrejesho.
Hii ni kweli???mimi pia wako wengi sana kwanguNasikia wana sumu hatari, akidondoka kwenye chakula familia nzima mnakufa
Rungu ni kiboko hata popo Kama utawangamizaNshapuliza mpaka kopo linataka kuisha lakini wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mijusi uliyoyaamua kuifuga mwenyewe imeanza kukusumbua .Ikifika hatua ya kukupandia kitandani na kukutambalia wakati upo usingizini utujulishe tukupe dawa
Ndo nilitaka na mie niseme kuhusu hili.Wengine Wana wahusisha na nguvu za Giza Kama antenna wanarekodi taarifa ndani na kuzituma wa wachawi
DuuuhUongo,wakati nasoma Pugu tuliwala sana kwenye maharage na panya na hatukufa
Monitoring spiritFafanua zaidi mkuu