Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,584
- 17,528
- Thread starter
- #21
Nshapuliza mpaka kopo linataka kuisha lakini wapiNunua dawa ya mbu rungu mpulizie
Nshapuliza mpaka kopo linataka kuisha lakini wapiNunua dawa ya mbu rungu mpulizie
Duh!!Wengine Wana wahusisha na nguvu za Giza Kama antenna wanarekodi taarifa ndani na kuzituma wa wachawi
Hata mimi nilitaka kumshauri hili,hao wanakula ng'e na wadudu wengine wasumbufu awaache wanamsaidia sana bila yeye kujuaAsee ndugu yangu waache hao viumbe watimize ecosystem, unankumbusha geto langu Manzese alikuwepo ndani mmoja kila nkitaka kumuua roho inasita, siku moja nashtuka usiku wa manane namkuta kambana N'ge mkubwa mdomoni kisawasawa na alimla mpaka kammaliza.
Nikawaza ingekuwaje yule N'ge angekuja nlipolala godoro nmetandika chini sina kitanda sina net
Hiyo ni drone ya wale wa lala nje usikuHebu fafanua mkuu
WW ni mtu salama ndio maana wapo hapo kwako kwani wanakuwa salama. Usiwaue tafadhali. NB: Hawana madhara yoyote kwako au mali yako. Cha muhimu ni kufunika maji yako ya kunywa wasijedondokea humo au kufia humo. Ikitokea amedondokea humo na kufia humo usinywe/usitumie hayo maji utataapika (Vomit) sana ila hautakufa.Tafadhali anayejua dawa nzuri ya kuua hawa wadudu anisaidie. Wapo wengi juu ya siringbodi. Usiku wanawikaView attachment 2682087
hiyo dawa kiboko hata popo mwenyewe anahama mjiNunua Dawa Ya Maji Inaitwa Lava
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 JamaniWengine Wana wahusisha na nguvu za Giza Kama antenna wanarekodi taarifa ndani na kuzituma wa wachawi
Tafuta ile expel ndio kaliNshapuliza mpaka kopo linataka kuisha lakini wapi
Wadudu Wote Iwe Inzi, Mende, Papasi, Chawa, Kunguni, Popohiyo dawa kiboko hata popo mwenyewe anahama mji
Tafuta ile expel ndio kali
uko sahihi kabisa hiyo dawa imekuwa kimbilio la watu wanaosumbuliwa na wadudu hususan Mungu ni.ingawa imeanza kupotea sokoni sahiviWadudu Wote Iwe Inzi, Mende, Papasi, Chawa, Kunguni, Popo
Inatengezwa Uganda Japo Naikubali Sana Sanauko sahihi kabisa hiyo dawa imekuwa kimbilio la watu wanaosumbuliwa na wadudu hususan Mungu ni.ingawa imeanza kupotea sokoni sahivi
Asante kwa Elimu, kweli dunia kuimaliza haiwezekani.Hizo zinaitwa kamera za wachawi kila unachofanya ndani wanaona
Baada ya kuelezewa hivyo na kuambiwa dawa yake nilijaribu dawa niliambiwa kama nikitia hiyo dawa wakiondoka nijue ni wakichawi kweli waliondoka mpaka leo sipendi mijusi
Naishi msela kwa hiyo ndani kwangu walikuwa huru sana
kukaa na kuona wajusi watano wapo maukutani wamerelax ilikuwa ni kawaida sana
Nikiondoka kurudi usiku kwa hivyo walikuwa huru
Dawa niliyotumia niliambiwa nichukue majani ya kisamvu niweke katika pembe za chumba hata mawili mawili kila kona
Alafu nichukue mbegu za kitunguu saumu nizitumie kusugulia sehemu mbalimbali ambapo huwa nawaona
Unatumia zile mbegu kuchorea maeneo wanayokaa
Baada ya kufanya hivyo kesho yake tu sikuona hata mjukuu wao nilishangaa sana
Inauwa mmbu hii dawa pia?Inatengezwa Uganda Japo Naikubali Sana Sana
Huyo ni mjusi kafiri achana naye atakusaidia kula wadudu wenye madhara kwako akiwemo mbu.Ila umesema kuwika umekosea au ulimaanisha kuwaka?