Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,586
Huenda hivyo vitunguu swaumu ni sumu kwao ndivyo viliwafukuza hao mijusi, hakuna uchawi hapoHizo zinaitwa kamera za wachawi kila unachofanya ndani wanaona
Baada ya kuelezewa hivyo na kuambiwa dawa yake nilijaribu dawa niliambiwa kama nikitia hiyo dawa wakiondoka nijue ni wakichawi kweli waliondoka mpaka leo sipendi mijusi
Naishi msela kwa hiyo ndani kwangu walikuwa huru sana
kukaa na kuona wajusi watano wapo maukutani wamerelax ilikuwa ni kawaida sana
Nikiondoka kurudi usiku kwa hivyo walikuwa huru
Dawa niliyotumia niliambiwa nichukue majani ya kisamvu niweke katika pembe za chumba hata mawili mawili kila kona
Alafu nichukue mbegu za kitunguu saumu nizitumie kusugulia sehemu mbalimbali ambapo huwa nawaona
Unatumia zile mbegu kuchorea maeneo wanayokaa
Baada ya kufanya hivyo kesho yake tu sikuona hata mjukuu wao nilishangaa sana