Dawa ya kutibu UKIMWI

Azuma imefeli Tanzania imeanza kushow Resistance
 
Dawa mbona lipo ndugu yangu. Dawa la ukimwi ni kutopima my friend ukipma tu umeisha nakwambia we potezea tu unless uwe umelemewa kabisa hapo pima afu usubirie kufa tu.
 
Azuma imefeli Tanzania imeanza kushow Resistance
Watu wanakunywa hovyoo kama pipi lazima igome . Yaani inaumiza maana Azithromycin ni dawa nzuri sana. Upumbavu wetu sisi wenyewe unatugharimu,hatujali afya zetu kabisa. Nasubiri na Ceftriaxone igome maana watu wana ule msemo " kachome powersef/ sindano ya UTI" utakaa sawa. Ceftriaxone inachomwa haswaaa.
 
Dawa mbona lipo ndugu yangu. Dawa la ukimwi ni kutopima my friend ukipma tu umeisha nakwambia we potezea tu unless uwe umelemewa kabisa hapo pima afu usubirie kufa tu.
Mkuu, hujawaona wagonjwa wa HIV wa miaka hiyo ARV haijaja. Wale walikuwa hawapimi kwa urahisi maana vipimo kulikuwa hamna kama sasahivi na waliumwa haswaa mtu anakufa kabaki mbavu. Ingekuwa hivyo unavyodai wewe basi UKIMWI ungeanza kuonekana miaka ya karibuni ambapo upimaji umerahishishwa. Lakini tangu miaka ya 1980s vipimo hamna na kuna mitaa ilipukutishwa na huu ugonjwa.
 
ishaanza kuonyesha Resistance mbona hapa tunasubiri Total failure tu kama Azuma
kwani si ndo chanzo cha kuwa na Ceftriaxone+sulbactam nyingi mtaani maana standalone ceftr.. imeanza kuzingua na pia ndo chanzo cha kuwa na Cefotaxime nyingi mtaani wewe hujagundua tu kuwa powecef chaliii...
 
Yaani nchi maskini ,hatuna bajeti ya kugundua dawa mpya ndo tunaongoza kwa kutumia madawa hovyoo na kupata usugu, nchi tajiri zenye viwanda na uwezo wa kufanya tafiti,wako makini kuzuia wasipate usugu. Kuna vitu ukifikiria vinachekesha na kuhuzunisha.
" Mi naumwa UTI, UTI yangu naijua, sipimi,nataka AZUMA" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wabongo banaaa.
 
my friend hakuna kitu kibaya ujue una ugonjwa flani na unajua unavyotafuna, kwangu mimi achana na ukimwi mimi hata sukari cjui presha siwezi pima piga ua. Nnachopima ni malaria na labda typhoid tu. Hayo mengne sijawahi na sitawahi.
 
Hayo ni maamuzi yako mkuu siwezi kukulazimisha. Ila kupima au kutopima hakuuondoi ugonjwa ,kama upo upo tu.
 
No tafiti nyingi sana zinafanyika na zipo hata ukienda NIMR/Muhimbili au hata wizrani utazikuta tatizo linakuja kwenye bajeti ya implematation ya tafiti zilizofanyika ndo hakuna kama kuandaa madawa yaliyopendekezwa na tafiti ndo mtiti hapo sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Namaanisha yaani kutengeneza hizo dawa( implementation), sikupanga maelezo yangu vizuri..Hadi gloves tunaagiza nje,gloves, kutengeneza dawa ndo tutaweza?
 
Mgonjwa wa homa ya ini Hepatitis B naye anatumia ARV, what a coincidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…