Dawa ya kutibu UKIMWI

Ngoja tuone mwisho wake.

Kuna mtu niliwahi tamani lala naye, akaniambia yeye haamini kwenye kutumia kinga, anapendelea kupata huduma ya rapid Hiv test.
 
Mkuu Mimi Ni daktari tena Bingwa Ila nitaomba kudiffer Na wewe kwa Hii Mindset kabisa..

Swali aliloleta Mtoa Mada liliwahi kuniwazisha sana kipindi nasoma Virology na Majibu Ya Research yangu nilibakia nayo Akilini...

Ukimwi Ulikuwa huenda ni Genetic Engeneering ya kutawala mwili ni kutkkana na Structure ya Virus na hata kazi zake na kutokana na Kirusi chenyewe pia ambacho kiko tofauti na Virusi Vingine kabisa...

Meehn Kama Utasoma HIV kirusi chake utagundua Thats a designed Biological Architect haiwezi kuwa naturally...

Eniwei Stay Safe Ndugu zanguni..
Dunia ina Vitu hatari zaidi ya Tunavyofikiria Nimeviishi, Nimeviona Na Mikono na Midomo Imefungwa Kuvizungumzia ila stay safe..

CC: min -me
 
The agenda of population increase control is real.
 
Kinachoua haraka baada ya kuwa + (=)

1. Kelele za wanao wa karibu/jamaa zako..."mara ooo kawaka, mara ooo amekondeana, mara ooo anaua watu..yaani full of pressure.

2. Saikolojia

3. Umasikini
 
Ngoja tuone mwisho wake.

Kuna mtu niliwahi tamani lala naye, akaniambia yeye haamini kwenye kutumia kinga, anapendelea kupata huduma ya rapid Hiv test.
Rapid maana yake kama kaambukizwa jana, juzi, wiki iliyopita, kipimo kitaonesha negative kwahiyo atakuambukiza. Hapo ni HIV peke yake,vipi kuhusu Gonorrhea mtapima rapid test? , Syphilis je? Trichomoniasis pia mtapima? Na kuna yale madude Kiswahili sijui ndo wanaita mafundofundo yanaletwa na Human Papilloma Virus kipimo chake unacho? Hapo sijaongelea Candida au kwa Kiswahili fangasi, una kipimo pia? Watu huwa hawajali halafu wakiumwa badala wakapate matibabu wanaenda kunywa Azuma, uzuri Azuma siku hizi wadudu wamekuwa sugu , ukinywa ni kazi bure tu, maumivu yanazidi basi unaenda kwa daktari kuvua nguo maana huna jinsi yamekufika shingoni.
 
Kwahyo mkuu hizi ni project za watu?
Na Dawa huenda zipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…